Acha ushamba wewe; nothing personal kati yao, it's business! Na ukiangalia sana ni "bifu" waliyoibariki wao kwa wao! Hivi hujiulizi Joseph Kusaga ambae ndie CEO wa Clouds ndie huyo ambae ni majority shareholder wa Wasafi?! Sasa hivi unashindwa kuunganisha dots na kujua what's behind?
Ile ni business strategy ya kufanya both companies zisilale bali zi-compete wao kwa wao; sasa akina nyie ndo mnaona kama kuna personal issues kati yao! Sasa kama Wasafi ni wanafiki, unataka kusema nini kuhusu Majizo?!
Uzuri ni kwamba, hata Ruge mwenyewe mambo kama haya anayafahamu na ndio maana kwenye migogoro mingi alikuwa anasisitiza "hii ni biashara"!