TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Figo,figo,figo. Hivi ni luis figo au figo ambayo tunaelezwa inaweza badilishwa kwa kuinunua kwa mtu ama ndugu kuamua kukupa bure! Nakumbuka ugonjwa huu ulifichwa kiaina na tangia familia ilipoamua kujitokeza na kuomba msaada wa matibabu (ambayo kwa siku ilikua ni zaidi ya mikioni TANO). bu baaa hata siku tano hazijaisha ametangulia. Swali: NI KWELI RUGE ALIKUA ANAUMWA FIGO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa wake haujafichwa kama unavyosema, huenda wewe ni mchache wa habar,
Figo,figo,figo. Hivi ni luis figo au figo ambayo tunaelezwa inaweza badilishwa kwa kuinunua kwa mtu ama ndugu kuamua kukupa bure! Nakumbuka ugonjwa huu ulifichwa kiaina na tangia familia ilipoamua kujitokeza na kuomba msaada wa matibabu (ambayo kwa siku ilikua ni zaidi ya mikioni TANO). bu baaa hata siku tano hazijaisha ametangulia. Swali: NI KWELI RUGE ALIKUA ANAUMWA FIGO?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh. RIP boss Ruge.

Stress mbaya unaweza ishia kutuliza stress kwa madawa yakaua figo.

Tusipeane stress iwe kisiasa, kibiashara, kindugu au hata kimapenzi; dunia tunapita tu.
 
Acha ushamba wewe; nothing personal kati yao, it's business! Na ukiangalia sana ni "bifu" waliyoibariki wao kwa wao! Hivi hujiulizi Joseph Kusaga ambae ndie CEO wa Clouds ndie huyo ambae ni majority shareholder wa Wasafi?! Sasa hivi unashindwa kuunganisha dots na kujua what's behind?

Ile ni business strategy ya kufanya both companies zisilale bali zi-compete wao kwa wao; sasa akina nyie ndo mnaona kama kuna personal issues kati yao! Sasa kama Wasafi ni wanafiki, unataka kusema nini kuhusu Majizo?!

Uzuri ni kwamba, hata Ruge mwenyewe mambo kama haya anayafahamu na ndio maana kwenye migogoro mingi alikuwa anasisitiza "hii ni biashara"!
Hawa ndio wale wanaoamini kila umbea wa kwenye mitandao.
 
kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...

moyo na pafu je? na ubongo na mishipa?

chochote mwilini kikipata hitilafu ni cha kuogopa, dont be funny

anyhow, the family has never leveled with the public during his entire ailment. As late as last week his brother was saying he is just undergoing "rehab and physio..." which mean recovery therapy of some kind. They never hinted at serious kidney failure treatment such as dialysis or transplant, which would commensurate with the medical bill of 5 Million a day that they claimed.

It took them well over two years to even admit that he is sick. If you insist on privacy in sickness you should seek privacy in death.
 
Imethibitika umefariki kaka!

Ni dhahiri pasi Na shaka kwamba sehemu yenye utajiri Mkubwa kuliko zote hapa duniani ni makaburini; Fikra , mawazo Na ndoto bora zenye kuutajirisha ulimwengu zimezikwa!

Kwa Mara ya kwanza nimeonana nawe Mwaka 2013 nikiwa EATV wakati ambao nilisimamishwa kazi baada ya kuweka maudhui Fulani mtandaoni, ulitaka niwe sehemu ya vijana wako wa clouds 360, katika mazungumzo tukagundua wote tuna upenzi wa kusoma vitabu..uliniita bwana mikakati.

Duniani kuna watu wa tabia tofauti, kuna wapenda vitu, fedha nk..ukikutana na Ruge hakuwa akikupa fedha Bali maarifa, amesaidia Na kujenga vijana wengi hasa Kwa maarifa ya kimaisha..mara ya mwisho tulionana mahali tukazungumza Kwa SAA 3, sikuwahi kujua kama unakijana wa rika langu..ulinijuza Na Kwa Bahati nilikutana nae mahali Fulani kikazi.

Thamani ya Ruge Kwa wengi ni zaidi ya kipande cha ardhi cha Nyamongo chenye dhahabu inayofikia wakia milioni 36!

Ruge ulikua ni zaidi ya utajiri wa gesi yenye ujazo wa futi tril.26.99 ambayo ni sawa Na Mapipa bil.4.86!

Ulikua kaka, baba Na boss Kwa wengi!
Hakika makaburi yameelemewa Na utajiri!
Pumzika Kwa amani Mzee wa mikakati..tutakukumbuka daima!

Adrian!
 
Back
Top Bottom