TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Bado kuna kitu najaribu kutafakari sana, kuna maono nimeyaona huwenda yakaja kushangaza watu pia ndani ya huu mwaka.

Unaweza kuwa mwaka mbaya kwa watanzania...

R. I. P Rugemalila.
Nahifadhi kumbukumbu
 
Leo katika msiba wa Ruge Mutahaba nyumbani kwa mama yake Mikocheni jijini Dar es salaam, kumeibuka taaruki baada ya kuonekana mkurugenzi wa Efm na Etv Francis Antony Ciza Majey (Majizo) akiwa katika msiba huo na kuonesha ushilikiano mkubwa sana katika siku hii ya msiba wa ndugu yetu Ruge Mutahaba.



[https://2]

Alipo ulizwa ni kwanini anashiriki kwa moyo mmoja katika msiba wa mtu aliyekuwa katika media nyingine alijibu ya kwamba


"Mimi ninafanya media kama hobby na sijali kama nitaweza kushuka kibiashara ama sitoshuka kibiashara kwasababu hata nikishuka itakua ni basi kwasababu sina bifu na mtu yoyote wala media yoyote na sifanyi kushindana ninafanya media kama kitu ambacho ninakipenda, na kuhusiana ma Ruge yeyepia alikuwa anamchango wake mpaka mimi kufikia hapa nilipo na ndio maana unaona ninakuwa na mchango mkubwa hapa katika msiba wake kwasababu ninakumbuka Msaada wake"


Maneno hayo alifunguka Majizo aliipoojiwa na waandishi wa habari pale nyumbani kwa mama yake na Ruge Mikocheni.


Mwili wa Ruge unatarajiwa kufika siku ya Ijumaa ukitokea Afrika Kusini na kuagwa Jumamosi na kisha utasafilishwa mpaka kwao Bukoba Kwa shughuli za mazishi kama ilivyo amuliwa na Familia ya Ruge Mutahaba.

[https://4]

CHANZO
www.msakaji.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki wa kweli unapaswa kututawala iku zote
 
Yaani Majizo kufika msibani imeibuka taharuki? Mtoa mada unaijua taharuki lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaweza nikasema sielewi ila ni kwa uelewa wangu mdogo kwa maana nilikuwa eneo la tukio na nikaona ni jinsi gani watu wanavyonong'ona chini kwa chini na hicho ndicho kilicho fanya waandishi wamfuate na kufanya naye mahojiano ili aeleze mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sasa ni wakati wa wanafiki kujitokeza hadharani, na wachawi kulia kwa uchungu kuliko waliofiwa" - Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…