TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Itakuwa alipewa ruhusa na familia kutangaza kifo chake, hafu hata ule msala wa mwanawe clouds haukuleta picture nzuri kwa jamii. Rip Genious Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema Ruge hakuwa Kiongozi wa kisiasa si sawa. Kutokana na maelezo ya katibu mwenezi wa ccm, Ruge alikuwa na nafasi kubwa tu kwa chama na alisaidia kwa sehemu kubwa ccm kuwa madarakani. Hivyo Ruge alikuwa kiongozi ndani ya chama hata kama haikujulikana kama wanasiasa wengine, na kutokana na nafasi yake na umuhimu wake kwa chama ndiyo maana ilibidi kiongozi mkuu wa chama hicho ndiye atoe taarifa ya kifo chake.
 
Familia iliamua hivyo ingawa wale inner circle wa familia walijua.
Pia kuna uzi wa tetesi humu mida ya saa moja au kumi na mbili hivi siku hiyo ulitoa taarifa humu kuwa kuna tetesi tuge kafariki hivyo rais sio wa kwanza kutoa taatifa hiyo.
Officially inaonekana msiba wa ruge kama umetangazwa na rais. Hii siyo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In some very rare situations almost exclusive ones... The majesty should be notified first.... BAE (if you can use this) it might be a coicedence OR deliberately planned... Or just common errors in human pre-planned missions

Jr[emoji769]
Protocol zimekiikwa. Twitter ya rais ilitakiwa kutoka baada ya official habari kwa jamii kutika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In some very rare situations almost exclusive ones... The majesty should be notified first.... BAE (if you can use this) it might be a coicedence OR deliberately planned... Or just common errors in human pre-planned missions

Jr[emoji769]
tumia kiswahili
 
Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.

Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.

Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.

Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.

Najiuliza tu.
Sio kweli acha uongo, au unataka kuingiza siasa mpaka misibani
 
Hii ndo point...na alichangia mil 50, na Rais alikuwa anamkubali sana Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
...alikuwa anamkubali sana Ruge lakini Klauz ilipovamiwa alimtimua kazi mtetezi wa Ruge.

Polonium 210 inaweza kuja tumiwa na watu wengine huko mbeleni dhidi ya wanaoitumia sasa.... what goes around comes around.

RIP Ruge.
 
Back
Top Bottom