Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Angalia zipo 3 kwa msisitizo
Kuna taratibu za kutangaza misiba, hasa ya watu muhimu japo hata ya kawaida, ni dhahiri mfano taarifa za kifo cha mzazi wako, mwenza, mtoto wako hautangaziwi kienyeji enyeji.Lakini siyo mpasha habari. Anatakiwa asubili habari rasimi ndiyo atoe neno.
Sent using Jamii Forums mobile app
TumepinduaProtocol zimekiikwa. Twitter ya rais ilitakiwa kutoka baada ya official habari kwa jamii kutika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo point...na alichangia mil 50, na Rais alikuwa anamkubali sana Ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Best usijitoe ufahamu....toka lini stone akawa over bashiiite?...tuseme ukweli[emoji44]Mrembo kama alikuwa anamkubali kwanini hakuacha sheria ifuate mkondo wake baada ya Bashite VYETI FAKE kuvamia ofisi za Clouds ili waweke kipindi cha Shilawadu ambacho kichaa alikuwa anasubiri akiangalie?
Coincidence,Andika tu kiswahili acha kulazimisha usivyovijua.In some very rare situations almost exclusive ones... The majesty should be notified first.... BAE (if you can use this) it might be a coicedence OR deliberately planned... Or just common errors in human pre-planned missions
Jr[emoji769]
Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.
Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.
Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.
Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.
Najiuliza tu.
Best usijitoe ufahamu....toka lini stone akawa over bashite?...tuseme ukweli[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba huu ulikuwa unamhusu nini hadi awe wa kwanza kutangaza , na kwanini iwe Ruge tu na siyo wale watoto wanaochinjwa kila siku kule Njombe ?rais ana vyanzo vingi vya taarifa
so what ? kwamba kama alikufa siku nyingi ndio iwe sababu ya Rais kuwa wa kwanza kutangaza ?
Duuuh unaniuliza swali au unanipa majibu????so what ? kwamba kama alikufa siku nyingi ndio iwe sababu ya Rais kuwa wa kwanza kutangaza ?