Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Sidhani na kwann alimtuma yule kijana kuvamia studioHii ndo point...na alichangia mil 50, na Rais alikuwa anamkubali sana Ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
NI kawaida yake kwenye msiba was masAburi pia alijichukulia jukumu la kwenda KINYUME na hotuba ya familia kutangaza kuwa masAburi Ana wake na watoto was kutosha[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji86][emoji86][emoji86][emoji85]Hata kama alipata habari haifai raisi ndiyo kuwa source ya habari
[emoji317][emoji317][emoji317]Ikuru
Ikulu....ikuru....
Ruge hawezi kutangazwa na kurugenzi ya ikulu.
Kama familia imekaa kimya....haimzuii rais ku tuiti
Uwii. Nikifikiria natamani kumkaba daudi...alikuwa anamkubali sana Ruge lakini Klauz ilipovamiwa alimtimua kazi mtetezi wa Ruge.
Polonium 210 inaweza kuja tumiwa na watu wengine huko mbeleni dhidi ya wanaoitumia sasa.... what goes around comes around.
RIP Ruge.
Miss ya[emoji15][emoji15][emoji15][emoji85]Mrembo kama alikuwa anamkubali kwanini hakuacha sheria ifuate mkondo wake baada ya Bashite VYETI FAKE kuvamia ofisi za Clouds ili waweke kipindi cha Shilawadu ambacho kichaa alikuwa anasubiri akiangalie?
SureBest usijitoe ufahamu....toka lini stone akawa over bashiiite?...tuseme ukweli[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mautelezi aka bakambu.Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
duhπ€...kumbe ana familia kubwa..lol...azikwe tu kwakwwl
Ww hujaelewa logic yangu....
naelewa lazima ulipie huduma....but lazima walipwaji wawe reasonable kama huduma haikukamilika
Zile pesa alizokuwa akipata kupitia madanguro ya "fiesta" alikuwa anapekeka wapi? Mungu ni mkubwa aiseeHuyu alikufa siku nyingi sema hela ya kulipia na kutoa mwili ikawa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope kuna some situation inakuwa hakuna namna you need to move on no matter what halafu ruge na zama hawakufunga ndoa japokuwa walipata watoto so bibie alimuona mshikaji sio muoaji akasepaπππ..leo unasema hvyo tukimove on siku nyinhine mtasema wanawake huwa waharidhiki..alikua malaya tu..kha
mbona povu hivo why? Akienda msibani shida iko wapi? Why Watanzania tunafika huko? Sisi ni ndugu tusiruhusu shetani atugawe katuNina andika uzi huu nikiwa na hasira vibaya mno!
Kwanza nimechukia mtu kama Diamondi kutwezwa na jamii ya akina Mrisho mpoto wakimuona kama mtu muhm sana katika msiba wa Ruge ,kwa ufupi wanao mchukia Ruge wana nini?
Kwa ufupi hawana elimu ni vichwa maji wanao bebwa na upepo wa kuimba tukiamua kuto sikiliza upuuzi wao hawana kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo!
Mtu kama Huyo Binti jide ni ovyo kabsa hakuna mwanamke ambae hana stara kama huyu mwanamke kinachombeba ni miziki yake ila ni miongoni mwa wanawake wasio na adabu katika jamii.
Kwa ufupi diamondi na jide tofautisheni clouds na TBC ili mjue mlitendalo!
Mwisho Diaamond husiende msibani huna lolote la kufanya pale, pesa ulizo nazo ni kwa vimeo wenzako wasio na elimu wenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app