TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Jambo.hani?

Wafiche kwa nini..
kama ni bili ya hospitali sidhani kama walishindwa kulipa hata kwa kuchangishama.Wahaya wenye pesa wana umoja sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeulizwa swali jepesi unarusha cheche?Kwa hiyo na mzee Mutahaba (kama naye baba yake yupo)akazikwe kwa baba yake akifa?
 
Kifo hakitakatishi ubaya ulionifanyia kipindi UPO hai,HATA kama nikija msibani ikitokea ukafufuka najua bado utazidi niumiza tuuu so Kwa swala la diamond na Jide nakubaliana nao kwa asilimia 100%. Hata ingekua mimi nisingerusha mguu wangu msibani.

Tusijidanganye marehemu hana kosa, SO eti akifariki ndio tufute makosa yake yoooteee HAPANA HAPANA hata Mungu hana ROHO nzuri ivyo..Ukifa ukiwa jambazi,kibaka,tapeli,mvuta bangi,muuwaji, nk nk nk Ukija fufuliwa siku ya mwisho MUNGU anakutupa JEHANAMU YA MOTO.

Ukishindwa rekebisha maisha yako kipindi cha uhai wako basi hamna wakukusafishia..Mondi Jide mko sahihi Simameni hapo hapo msiwe wa wanafki.
 
Mi nimejifunza
1. Maisha ya duniani mafupi sana
2. Ukifa huna thamani tena
3. Kuwekeana mabifu ni kitu kibaya sana, jitahidi sana uwe peace na watu
4. Hela si kitu, ingawa ni lazima uwe nazo, usiondoe utu wa wenzako sababu ya pesa
5. Dunia ina watu wanafiki sana, mbunge anapigwa risasi viongozi wa juu hawatoi msaada, lakini wengine wanakufa watu wanatoa ndege, marehemu na alie hai nani ana thamani=UNAFIKI......... Infact ukifuata hoja namba 1-4, hotokua kama namba 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani itifaki imezingatiwa.jamaa alikuwa mtoto wa mama bado,niulize kwanini?

Marehemu alikuwa hajaanza kujitegemea ile kisawa sawa maana hakuwa na mke {kuwa na watoto siyo kwamba ndo ukubwa} kinachoangaliwa je uliweza kummiliki mtu ndani?

Nimeipenda style ya baba yake na ameenda vizuri sana kama neno la Mungu linavyosema nitanukuu “Mwanaume/Mwanamke ataachana na wazazi wake na ataambatana na mkewe/mumewe” na marehemu hakuwai kufanya hivi wazazi wanayo haki ya kusimamia mazishi ya mtoto wao kwenye nyumba wanayoishi wao.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Haswaaa
Uko sawa sawa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu ...si kwa povu hilo...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa kuwa familia ya ruge ... wanajua zaidi.. kuishi na kuachana kwao
shida ilianza kwa nani!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…