Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Katangulia mbele ya haki tayari,Rugge alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa figo.Hali iliyopelekea kupelekwa south africa kwa matibabu na umauti kumkuta huko.
Duh,hakuna ajiuye siri ya kifo aisee,u nani wewe hata utoe laana kwa watu?Mungu ampumzishe mahali pema peponi.
Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.
Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.