TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba


Yani namaanish Zari alimtesa na kumpa stress mwanaume aliyempenda kiukweli kwa ajili ya Diamond kama ilivyo kwa Zama na Marioo.
Mwisho Ivan mwenye real love akafa kwa stress kama mpendwa wetu na Diamond akamtenda Zari, imebaki historia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona wanasema Nandi alipokuwa na mimba alipima ngwengwe pia. Akakutwa kishaungua ndo akaamua kutoa na mimba. Tena kipindi hicho marehemu ndo kaanza kuugua. Nadhani alikuwa kishatoka India.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna mmoja alielezea mambo ya marehemu chumbani, alifungukaga balaa umuwahi kukutana na hiyo screenshot?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ile ishu tulibishana na rafiki yangu hadi tulinuniana yaani alinichefua yule mwanamke, ila kile kitendo atakuja kukijutia sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila shoga naona Zama ana stress tokea mwaka huu uanze. Haki mtazame sura yake utaona kabisa kama amezeeka ghafla kwa stress.

Tumuombee jamani wale watoto wadogo mno wasijebaki yatima [emoji24][emoji24][emoji24]
Kitendo alichokifanya na kama hakuwahi kumuomba msamaha marehemu atajutia maisha yake yote maana nasikia marehemu alimuambia mtu wake wa karibu kuwa akina Soudy Brown walimkera sana walipomshambulia Zama, that means hakuwa yeye aliyewatuma kama tulivyodhani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ataachwa tu, we unadhani kijana mdogo yule atakubali kuishi na Zama maisha yote, kama sio kuachwa basi ataoa tena kijana mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Shabani ni mdogo yule? Mbona naona kama wanalingana? Japo Zama nae sura siku hizi imesawijika hata makeup haikai tena ila atakuwa na 35/36 yule.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa ishu ya Zari sijui kwann naona hakuna kosa. Anyway labda sababu namfagilia.maana yeye na ivan wote utulivu ulikua ziro. Ila ivan kilichomtesa sio diamond bali watoto aliozaa zari. Nasikia walipeana ahadi wasiongeze watoto wengine zaidi ya wale watatu ndo maana mahusiano ya zari na bondia etc hayakuleta watoto
 
Sijamuona kabisa mwaka huu hata huko insta nilishamu-unfollow sikuwa hata na habari nae
[emoji3][emoji3][emoji3] akina Sudy walijituma ili wamfurahishe boss kumbe mwenyewe hajapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotelea wapi ? Zama alaaniwe kabisa,kujipendekeza kwa Marehemu Ruge,hadi Ruge akaingia line wakazaa,Dina akapoteza kazi. Snitch Zama mwisho wake mbaya. Aliniudhi sana alipovujisha audio za Ruge akililia penzi.

Nipo Madame, sema tu tunapishana humuhumu.

Zama ni mnafiki sana. Unaambiwa mpaka aliigawa clouds sababu ya roho yake mbaya juu ya Dina. Yani alikuwa akijua unampenda na kumsapoti Dina atakufanyia majungu kwa ‘baby dady’ hadi ukomeshwe.
Hata alivyoondoka Clouds wafanyakazi walifurahi sana.
Kuna siku Diva alitaka kumchamba nadhani alikatazwa na wakubwa zake na bila shaka ni Ruge mwenyewe.

Zile audio zitamtafuna mpaka mwisho wake, hakuna mtu yeyote mwenye hekima aliyefurahia lile.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…