Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji125][emoji125][emoji125]Zari tena. Zama hawezi kipata kikombe cha zari kikubwa mno. Kumbuka Ivan hakua na ndugu wenye nguvu na mamlaka kama Ruge. Msiba wa ivan ulisimamiwa na Rich gang zaidi kuliko ndugu wakati Ruge show nzima ipo kwa wazazi na serikali kwa asilimia ndogo
Yani namaanish Zari alimtesa na kumpa stress mwanaume aliyempenda kiukweli kwa ajili ya Diamond kama ilivyo kwa Zama na Marioo.
Mwisho Ivan mwenye real love akafa kwa stress kama mpendwa wetu na Diamond akamtenda Zari, imebaki historia.
Sent from my iPhone using JamiiForums