TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kila ilipokuja suala la kulaumiwa aliyetangulia kulaumiwa ni Ruge Mutahaba,

kwa logic ya kawaida nauliza tu

kwani wasaniii walikuwa wanalazimishwa kufanya kazi na clouds? mbona vituo vilikuwa vingi sana kama vile magic, Radio one, Ea radio, na Times Fm, bila kusahau RFA ya mwanza?

Kwa akili ya haraka ni mjinga pekee atakaye lalamika kwenye open market ambayo hulazimishwi na yeyote kuchagua nani wa kufanya naye kazi,

Nilichogundua kwa haraka haraka ni kwamba ubunifu wa Mr Ruge ulifanya kila mtu aisikilize clouds fm na kila msanii atamani kufanya kazi na Clouds fm, lakin ikifika suala la mapato ndo panaleta matata, Kwa dunia hii huria huwezi kukubaliana vibaya wee alafu ukalaumu uliyekubaliana naye,

Kuna watu wameibuka na kusema kwamba kama ni kuibua vipaji mbona hawajawaibua mama zao na dada zao wanasubiri vipaji vilivyoibuka tiyari ili wavinyonye? nikashangaa nami nauliza kama kweli wewe ulikuwa ni kipaji ambacho kimeibuka tiyari kwanini hukwenda radio nyingine mpaka clouds?


Kwaheri Ruge umebeba mengi mpaka lawama usizostahili hata za wazembe, hata za waliochezea wakati hata za waliokuwa wanataka vya free, lakin Tambua kwamba hakuna freee,
 
Hahaha ww jamaa nikizibo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo document ya mange kimavi iamini wewe brother mimi sishikwi akili na mliwa jicho

Mara nyingi watu wanaoliwa jicho huwa wanapenda kujifanya vidume kwa kuwatangaza wenzio kwamba ndiyo wanaliwa jicho.

Hii comment inaendelea kuniambia cha zaidi, kwamba jamaa wa Fiesta walipokuomba uliwapa, ila hawakukupa ulichohitaji.
 
Mara nyingi watu wanaoliwa jicho huwa wanapenda kujifanya vidume kwa kuwatangaza wenzio kwamba ndiyo wanaliwa jicho.

Hii comment inaendelea kuniambia cha zaidi, kwamba jamaa wa Fiesta walipokuomba uliwapa, ila hawakukupa ulichohitaji.
Acha ufala wewe jitambue acha usen.ge kabisa hapa tunabishana kwa hoja na kuhusu mange kuliwa jicho halina mjadala baba yake mzaza ndie aliemuanzishia hiyo tabia acha uku.m.ama.e
 
Acha ufala wewe jitambue acha usen.ge kabisa hapa tunabishana kwa hoja na kuhusu mange kuliwa jicho halina mjadala baba yake mzaza ndie aliemuanzishia hiyo tabia acha uku.m.ama.e

Mkuu mimi nafanya uchambuzi kutokana na posts zako.

Umesema mdogo wako aliombwa nyuma na timu ya Fiesta, hakuwapa. Nilivyoona hii post imekaa kishabiki nikawaza kwamba utakuwa ni wewe mwenyewe uliyeombwa.

Umeendelea kukataa, ukaja na post ya watu kuliwa jicho, nikawaza kupitia msemo wa "Kujuana kwa Vilemba", kwamba ni rahisi kumjua anayeliwa kama na wewe unaliwa.
 
Kwa hiyo ili kumgundua mtu anavirusi vya ukimwi lazima nawewe uwe na virusi vya ukimwi? Embu kuwa kiakili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…