Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
na mkeowe na nani?
Haahaaahaaa[emoji16][emoji16]...Bora hata we useme!Acha upotoshaji
mbwa sana wewe!na mkeo
Kiba mbona tulikuwa naye humo ndani sema kijana hataki mnaita kiki kaja kavaa miwani kajifunika na kilemba kwa haraka nataka huwezi mtambua
Hakika diamond ni kipenzi cha watu.
Katika msiba huu wa Ruge wamejitokeza watu mbalimbali , lakini alipokuja rais Nasibu Abdul hali ya hewa imebadilika kwa kiasi kikubwa sana kila mmoja anamshangilia diamond kwa kuimba Simba! Simba! Simba! yani mpaka wamesahau kumlilia Ruge wao.
Wale vimbelembele wote aibu imewapata akiwemo yule mtu mzima hovyo anayetembea pekupeku kama chizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaaaDaah Diamond Platnumz kawapiga wambea chenga ya mwili. Yani kama ni betting tunasema kachana mikeka...
Ila amefanya jambo jema sana kuhudhuria, naamini hata yeye atakuwa na amani ya moyo sasa maana kelele kuhusu yeye zilikuwa nyingi.
Tupendane ndugu zangu, kukwaruzana kupo lakini kusameheana ni muhimu. Maisha yetu ni kama mshumaa uwakao ukipulizwa kidogo unazima.Tujitahidi kuishi kwa amani na watu wanaotuzukunga.
Mungu atupe mwisho mema sisi sote.
REST IN PEACE RUGEMALIRA MUTAHABA.
MmmnhMapenzi mubashara
Wamlipie watu? weeee acha hizo we ndo una lugha mgando, kifupi walijipendekeza kumlipia ili wajione ni wao wamefanya sababu waliona talent iko hapo, kama wewe hujaona watu wanavyojipendekeza kwako huna kipaji wewe. watu hawana aibu. talanta inajilipia.inajibeba.inawaka nyamaza kabisa usrdBila yeye kivipi? Watu wakulipie studio time, promotion,na vitu vingine afu unaleta lugha za kuteleza,bila mimi wao wasingejulikana? Kwa lipi huyo si angewaombaa wazazi wake asa wamlipie hivyo vyote ili asilaumu watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks NumbyMwanae wa kwanza
There is no need to create unnecessary animosity between us.Vitabu vimeandikwa ili visomwe. na hapo katika kusoma hujalazimishwa uyafuate ya vitabuni hakuna kitabu kama hicho, hapa sasa una elimishwa tena bure. hutaki sasa tukupe nini? BOb marley?...akili ya ku-quote changanya na yako. since of all human being minds are too complicated more than you can even imagine. perhaps than any beasts you have ever come across with... the way i think on your side are not complicated......
Sasa kama talanta ipo kwanini anapagawa?afu hujanisoma vizuri nimesema hivi,kama alijiona yuko na talanta si angewaambia wazazi wake( jide) walimpilie hivyo vitu aliasinyonywe na hao!? Grow up man ukikubali kusimamiwa jua watu wameinvest pesa zao sio ujamaaWamlipie watu? weeee acha hizo we ndo una lugha mgando, kifupi walijipendekeza kumlipia ili wajione ni wao wamefanya sababu waliona talent iko hapo, kama wewe hujaona watu wanavyojipendekeza kwako huna kipaji wewe. watu hawana aibu. talanta inajilipia.inajibeba.inawaka nyamaza kabisa usrd
Jamaa niliyem quote alishamtaja sykes mimi nikamjazia hawa wengine, sana mkuu watoto wajuz hawawezi kuwajua haoHao wazee WA Dsm mkuu, umemsahau Mzee Sykes , hao ndio wapigania Uhuru wenyewe