TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hakika diamond ni kipenzi cha watu.

Katika msiba huu wa Ruge wamejitokeza watu mbalimbali , lakini alipokuja rais Nasibu Abdul hali ya hewa imebadilika kwa kiasi kikubwa sana kila mmoja anamshangilia diamond kwa kuimba Simba! Simba! Simba! yani mpaka wamesahau kumlilia Ruge wao.

Wale vimbelembele wote aibu imewapata akiwemo yule mtu mzima hovyo anayetembea pekupeku kama chizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

upeo wa vijana wa Kitanzania aina hii ni wa kusikitisha sana. duh
 
Daah Diamond Platnumz kawapiga wambea chenga ya mwili. Yani kama ni betting tunasema kachana mikeka...
Ila amefanya jambo jema sana kuhudhuria, naamini hata yeye atakuwa na amani ya moyo sasa maana kelele kuhusu yeye zilikuwa nyingi.
Tupendane ndugu zangu, kukwaruzana kupo lakini kusameheana ni muhimu. Maisha yetu ni kama mshumaa uwakao ukipulizwa kidogo unazima.Tujitahidi kuishi kwa amani na watu wanaotuzukunga.
Mungu atupe mwisho mema sisi sote.
REST IN PEACE RUGEMALIRA MUTAHABA.
haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila yeye kivipi? Watu wakulipie studio time, promotion,na vitu vingine afu unaleta lugha za kuteleza,bila mimi wao wasingejulikana? Kwa lipi huyo si angewaombaa wazazi wake asa wamlipie hivyo vyote ili asilaumu watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamlipie watu? weeee acha hizo we ndo una lugha mgando, kifupi walijipendekeza kumlipia ili wajione ni wao wamefanya sababu waliona talent iko hapo, kama wewe hujaona watu wanavyojipendekeza kwako huna kipaji wewe. watu hawana aibu. talanta inajilipia.inajibeba.inawaka nyamaza kabisa usrd
 
Vitabu vimeandikwa ili visomwe. na hapo katika kusoma hujalazimishwa uyafuate ya vitabuni hakuna kitabu kama hicho, hapa sasa una elimishwa tena bure. hutaki sasa tukupe nini? BOb marley?...akili ya ku-quote changanya na yako. since of all human being minds are too complicated more than you can even imagine. perhaps than any beasts you have ever come across with... the way i think on your side are not complicated......
There is no need to create unnecessary animosity between us.
You follow your culture, taboos and I follow mine. How about it?
Simple like that.

Trying to force others to follow your culture that is brutal. And that is uncivilized way of making new friends.
 
Wamlipie watu? weeee acha hizo we ndo una lugha mgando, kifupi walijipendekeza kumlipia ili wajione ni wao wamefanya sababu waliona talent iko hapo, kama wewe hujaona watu wanavyojipendekeza kwako huna kipaji wewe. watu hawana aibu. talanta inajilipia.inajibeba.inawaka nyamaza kabisa usrd
Sasa kama talanta ipo kwanini anapagawa?afu hujanisoma vizuri nimesema hivi,kama alijiona yuko na talanta si angewaambia wazazi wake( jide) walimpilie hivyo vitu aliasinyonywe na hao!? Grow up man ukikubali kusimamiwa jua watu wameinvest pesa zao sio ujamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom