Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hapa ndo nlipomuelewa Dudu Baya"Sasa ni wakati wa wanafiki kujitokeza hadharani, na wachawi kulia kwa uchungu kuliko waliofiwa" - Tundu Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo nlipomuelewa Dudu Baya"Sasa ni wakati wa wanafiki kujitokeza hadharani, na wachawi kulia kwa uchungu kuliko waliofiwa" - Tundu Lissu.
Ahsante nimeeditMSIBANI dada[emoji2]
Ila jamaa kipindi hichi cha mwisho alikua bega kwa bega hadi kurusha Matangazo ya rambirambi kwenye redio yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote thamani ya kitu huwezi kuiona ukiwa nachosi wanasema amewanyonya sana wasanii?? nadhan ni furah kwa wasanii..mie yangu macho
Siku zote thamani ya kitu huwezi kuiona ukiwa nacho
Thamani ya kitu utaiona endapo hicho kitu hakipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Si vizuri kushirikiana watoto mambo ya kiofisi wakati wao hawako hiyo ofisi !! Na watoto wanatakiwa kukua baba akiwa mwizi akitumbuliwa usinune anachukia nini ulitaka baba yako aendelee kuwa mwizi akiibia serikali? Huko kununa kwaweza haribu future ya mtoto.Akaeleweka kuwa mtoto wa mwizi ni mwizi hivyo hata akipewa post atakuwa mwizi kama baba yake.Hata kama ana hasira angetungua tu Kilio na kutoa mkono au angekuwa neutral.Hicho kitoto kinaonyesha kipenda Ufisadi na kilillelewa na pesa za kifisadi Kasi kuwa zilipokata kikawa na hasira na watumbuaji waliotumbua baba yake.Mtoto usimshirikishe ya ofisini usipende kusimulia ya ofisini hasa mabaya kauka wajaze wenyewe.Usiseme ohh naonewa nk wakati wewe mwizi ofisini utaharibu future za watoto wata misbehave siku ya msiba kwa wasiojua kama huyo mtoto.Kajipa permanent damage ya future yakeSawa!Nimejikuta nakumbuka msiba wa Kabwe ambapo binti wa marehemu aligoma kumpa mkono RC Makonda!
HahahahaKuna kenge alikuwa amejificha jana kaonekana kule twitter ngoja msiba upite atakula fimbo za mkorosho mpaka arudi mafichoni
Ndo maana Mimi ni muumini mzuri Wa msemo huu " if they don't appreciate u'r presence , then, let them appreciate u'r absence ". R.I.P Ruge.Siku zote thamani ya kitu huwezi kuiona ukiwa nacho
Thamani ya kitu utaiona endapo hicho kitu hakipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Like me[emoji22][emoji22][emoji22]Dah japo Ruge namuona kwenye tv ila nimeumia sana.