Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Hili ni jibu bora la papo kwa papo mwaka 2019Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni jibu bora la papo kwa papo mwaka 2019Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kila mtu ana umasikini wa hela kama wewe. Wengine tunatafta wanawake.
[emoji4][emoji4][emoji4]..leo unasema hvyo tukimove on siku nyinhine mtasema wanawake huwa waharidhiki..alikua malaya tu..kha
Shoga nkupe umbea Zama naskia kalia mpk kugaragara sebuleni huko msibani[emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]nimechekaaa Mimi acha kabisaa!nkasema kaah!unaafiki hautuishi wabongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi KKKT waligoma kumzika kaka yangu kapuku kisa tu hana ndoa sasa nasubiria kuona wakimzika hadi na askofu kisa tu Ruge ni tajiri...lets stay eye opened
Shoga nkupe umbea Zama naskia kalia mpk kugaragara sebuleni huko msibani[emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]nimechekaaa Mimi acha kabisaa!nkasema kaah!unaafiki hautuishi wabongo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Shauri zake kiduku boy atamucha hajui kuolewa nwdsy dili..hahhaa aisee nie ningembrutia nje namweka kweye kona namwambia lilia hapa wifi[emoji23][emoji23]
hawana muda mbele..kwanza akili zao hazijafanana.ingawa na zama anafake sana..zama atakuja mchoka mtoto huyo..watachokana..nw bado wanafake..Ya Zari na Ivan soon yanaenda kujirudia jamani! Yule mission town siwaoni wakidumu haki!
Sent from my iPhone using JamiiForums
That means ruge alifariki siku nyingi lakini walikua wamevutana kwenye nani atangaze
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania na mitandaoo...!! yani mnamuamini yule mpuuzi wa Facebook??Mbona taarifa zilishakuwa proved kuwa alikufa mwaka Jana?
,ilikuwa inasubiriwa bill ya hospital imaliziwe na waruhusiwe kuuchukua mwili wa marehemu,
so baada ya harambee ya kumchangia hela fasta ikatimia,
ndio maana mmeona fasta hata wiki ya michango haijaisha wametangaza kifo,
#Be wise.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Kongo sio kongowejamani Ruge amefia hospitali gani Afrika Kusini tuliopo huku tukamuage??
Sent using Jamii Forums mobile app