Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba kila atakaye udhuria atapewa huduma kama malazi na kula
Kula na kulala siyo kipaumbele cha msibani, ifahamike kuwa kila anayekuja hapo lengo ni kufanikisha mapokezi na mazishi ya marehemu, in other words, mtu awe tayari kulala hata kwenye mti kama ana dhamira ya kweli katika shughuli ya msiba