TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

View attachment 1035960

Sizani kama shule umeenda wewe na unaelewa kuhusu swala zima la media vizur!! Hakuna chombo cha habar ambacho hakitakuwa na leseni ya kutoa habar whether n social news or news nyingine usikurupukie vitu kwa mbele kijana



Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona wewe ni zuzu kiasi hiki? Kuna mahala unaweza kupa_quote kuwa nimesema kuna chombo cha habari hakina leseni ya kutoa habari acha kunichosha aisee
 
Kila ilipokuja suala la kulaumiwa aliyetangulia kulaumiwa ni Ruge Mutahaba,

kwa logic ya kawaida nauliza tu

kwani wasaniii walikuwa wanalazimishwa kufanya kazi na clouds? mbona vituo vilikuwa vingi sana kama vile magic, Radio one, Ea radio, na Times Fm, bila kusahau RFA ya mwanza?

Kwa akili ya haraka ni mjinga pekee atakaye lalamika kwenye open market ambayo hulazimishwi na yeyote kuchagua nani wa kufanya naye kazi,

Nilichogundua kwa haraka haraka ni kwamba ubunifu wa Mr Ruge ulifanya kila mtu aisikilize clouds fm na kila msanii atamani kufanya kazi na Clouds fm, lakin ikifika suala la mapato ndo panaleta matata, Kwa dunia hii huria huwezi kukubaliana vibaya wee alafu ukalaumu uliyekubaliana naye,

Kuna watu wameibuka na kusema kwamba kama ni kuibua vipaji mbona hawajawaibua mama zao na dada zao wanasubiri vipaji vilivyoibuka tiyari ili wavinyonye? nikashangaa nami nauliza kama kweli wewe ulikuwa ni kipaji ambacho kimeibuka tiyari kwanini hukwenda radio nyingine mpaka clouds?

Kwaheri Ruge umebeba mengi mpaka lawama usizostahili hata za wazembe, hata za waliochezea wakati hata za waliokuwa wanataka vya free, lakin Tambua kwamba hakuna freee,
 
Ruge alipokuwa hai alimfanyia kila aina ya ubaya, leo anatokwa jasho akijifanya kaguswa na msiba.

Jana muda wote aliyafunika macho yake na miwani mieusi ili tusiweze kung'amua unafiki wake.

Karma is a bitch..let's wait.
Anajiona Kama malaika wiki iliyopita alienda pale kawe anajifanya anawambea Wana dar nilicheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Eti babu tale!!!
 
Nimemuona msanii Barnaba, hata kutembea hawezi! Nimeshangaa sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa ktk hali ile. Bila shaka ameguswa sana na huo msiba na hasa baada ya kuisikiliza hotuba yake ndani ya huo ukumbi wa Karimjee.
 
Jana nilitoa taarifa kwamba Diamond leo atahudhuria shughuli nzima ya kumuaga ruge,bahati mbaya mods wameutoa ule uzi.finally Simba is in da house,wanakosa cha kusema sasa hivi wanakuja na uzushi eti kazomewa hahaha
Screenshot_20190302-140146.png
Screenshot_20190302-140425.png
 
Sawa una chuki na Ruge lakin chuki yako haiondoi mazuri aliyofanya,

Msiba wa kitaifa unautambuaje?

Rais yupo
Makamu wa rais yupo
Waziri mkuu yupo
Mkuu wa majeshi yupo
Mkuu wa polisi yupo
Mawaziri wapo
Wakuu wa mikoa wapo,

Rais wa nchi kawa wa kwanza kutanzaga msiba kama ambavyo Mkapa alitangaza wa Nyerere,

Rais katoa ndege kumsafirisha

Katangazwa BBC london

Media zote zipo pale,

Kaharibu ratiba za wasafiri ndani ya Dsm,

Viongozi wa upinzani wapo,

Barabara nyumbani kwao imeanza kumwagwa vifusi kurekebisha maeneo

Umati wa watu umemlaki barabarani, sasa unataka nini kujua kwamba msiba wa Ruge ni wa kitaifa?
 
Back
Top Bottom