TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Si unataka tusiuge au sio?
Basi usitake tuige mila ya kwenu ya kutochimba kaburi kabla ya siku ya kuzika.

Kwetu hatudhuriki kutofuata mila hiyo.

Kuna sehemu huko Kagera watu wanachimba makaburi yao na kuyajengea wakati wao wapo mbali na huko na yanakaa miaka kuwasubiri wakifa.
Hujui maana ya 'BANTUS'' mila zao zinafanana tu.hata ufanyeje.
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na Diamond Platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena

kama unaujua vizuri mgawanyo wa hisa za wasafi tv naimani utaelewa vyema kuwa ni nani mwenye maamuzi ya mwisho katika maamuzi yote makubwa ya uendeshaji wa wasafi tv.
kwa mgawanyo wao wa hisa Diamond ana miliki si zaidi ya 45% ya hisa na Joseph Kusaga na mkewe wao wanamiliki zaidi ya 50% ya hisa zote za wasafi tv. hapo ni wazi kuwa maamuzi ya kutangazwa mubashara kwa msiba wa ruge mutahaba umefanywa na Joseph Kusaga mwenyewe na sio Diamond Platnumz. yeye atabakia kuwa ni share holder tu na sio mfanyamaamuzi.
 
Habari wadau wangu nimewamiss sana sanaaaaaaaa

Wakati naandika hapa nakosa neno la kusema kwa ndugu yetu huyu kaka ruge yaani nakosa kabisa ila acha niseme hivi

"Kuna majira ya kupanda na kuvuna, kuna majira ya kuzaliwa na kufa pia
hivyo basi kila jambo lina majira yake leo hii tunamkumbuka marehemu
kaka ruge atunae kabisa kaondoka duniani hivyo tubaki tukimuenzi kwa yale mazuri aliyoyafanya yale mengine tuachane nayo. Imenifanya niwe na majonzi tele nikikumbuka alivyotukochi kwenye semina mwaka juzi pale Diamond jubilee kwenye kilele cha ufunguzi wa Mwananchi yaani sitasahau kweli kaka ruge kwa heri

Bwana ametoa nae ametwaa jina lake lihimidiwe
 

Attachments

  • ruge.jpg
    ruge.jpg
    7.5 KB · Views: 17
APUMZIKE KWA AMANI!

Mods rekebisheni kichwa cha uzi.

Young kilimanjaro
 
Hujui maana ya 'BANTUS'' mila zao zinafanana tu.hata ufanyeje.
Usilazimishe mambo ya kusoma vitabuni.

Kuna baadhi ya kabila wabantu ukiona maiti ya mtu aliepata ajali unatakiwa uoge dawa sababu mila yao inasema hivyo.

Lakini kuna wabantu wengine wengi hawana mila hiyo wanasaidia kwenye ajali na kuzika marehemu bila shida na hakuna wanao dhurika.

"Life is one big road with lots of signs. So when you riding through the ruts, don't complicate your mind" By Bob Marley.
 
Mbona huyu jamaa mnampa shavu sn baada ya kufa?? Mlikuwa wapi kumpa sifa hz kabla hajafa?? Na yy ni marehemu kma marehemu wengine. Kufahamiana na wanasiasa, sio sababu ya yeye kuonekana kama Nyerere.
Ukiwa makini, utaona hao inaosemekana amewanyanyua kifursa (wanamuziki) hawajasikika sana kama wanasiasa katika kumuongelea msibani. Waliosikika ni wanasiasa na wafanyakazi wenzake.

Event ikishikwa na Clouds FM, lazima itabamba tu, iwe msiba, harusi, birthday, kipaimara etc. Watairusha mpk basi...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U stupid wake uko wapi? Unaijua nafasi ya Rais kwa taifa wewe?
Rais anapaswa kutangaza vifo vifuatavyo.
1.Makamu wa Rais
2.Waziri mkuu
3.Rais mstaafu
Hata kifo cha mke wake au mama yake Rais hatakiwi kutangaza yeye binafsi, bali kurugenzi ya mawasiliano ikulu,kama hujaelewa rudi darasani

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe pimbi ndio umeandika nn hapo. Your thinking capacity is 0.
Its better kukakaa kimya kama hujui mwanzo wa mjadala. Stupid kabisa, go back to school ukajifunze upya, get your shit out of here
 
Dah ila marehemu ktk siasa na mahusiano ....mimi km mimi hanivutii

Nilichompendea ni ile tabia yake ya ukarimu wa kupeana michongo usingesikia jina usingejua km ni muhaya hapo tu ndipo alinifurahisha moyo wangu

Na wewe usianze kutoa madongo basi
Ndo mchumba yule kwa taarifa nilizopata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom