TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mbona huyu jamaa mnampa shavu sn baada ya kufa?? Mlikuwa wapi kumpa sifa hz kabla hajafa?? Na yy ni marehemu kma marehemu wengine. Kufahamiana na wanasiasa, sio sababu ya yeye kuonekana kama Nyerere.
Ukiwa makini, utaona hao inaosemekana amewanyanyua kifursa (wanamuziki) hawajasikika sana kama wanasiasa katika kumuongelea msibani. Waliosikika ni wanasiasa na wafanyakazi wenzake.

Event ikishikwa na Clouds FM, lazima itabamba tu, iwe msiba, harusi, birthday, kipaimara etc. Watairusha mpk basi...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini ibambe ikishikwa na clouds hapo ndo unarudi Kwa Ruge tena ukimsifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni utitiri wa vibanda vibanda. siyo nyumba hata kidogo, nenda kajionee Ma-estate, Modern villa ya kufa mtu Musoma vijijini.kuanzia Mugango mpaka Bwai kwitururu, chitafubhu.Butiama na Tarime... kiribo. makamanda wamejenga huko hatari Moshi nini bana! Kiribho ni mlima huu ndani ya East African's lift valley down yake yake kuna ever green grass land, mashamba na majumba hatari kama hii hapa..... hapo Wahaya siwasemi vibaya ila mnaboa sana.
lakini watu wa huko hawana majigambo jamani khaa! nawapenda bure.
Umeanza utani mtu WA mara.vijiji vya musoma haviwezi fikia hata robo ya vijiji vya wahaya .na Hilo eneo la kabale halina migheto kiviile tembelea kamachumu, nshamba,mugana,kanyigo na nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hutaki sasa tukupe nini?
I never asked anything from you.
Let's make it straight!

You can not educate me something your self would never know or comprehend.

As far as I can remember you were trying to make Haya people to follow your taboo, but it should be known to you by now that a taboo is not a universal law for every one to obey or comply with.

Can we call it off, now? You seem to be a nice person and I don't like to make enemies out of nice people.

BTW, I am not Haya.
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source Clouds tv!
Mshenzi namba moja na mnafiki namba moja na mmwagaji damu namba moja.
 
Salama Jabir akiwa msibani
52029438_2308030819475086_5415582094277819446_n.jpg
 
Back
Top Bottom