Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya makubwa ambayo wanaoyajua ndo wanaoomboleza.Amechangia pakubwa ku-revolutionarize industry ya burudani hapo Bongo.
Roho inakaa sehemu gani kwenye mwili wa binadamu?Roho ipi Mkuu..roho ndio uhai wenyewe..ikifa nawe unakufa na hapo ndio mwisho wa hadithi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifurahisha kweliclouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.
Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.
Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhanai fursa na malikia bila kusahau kipepeo labda vimechangia watu kumpenda
Oooh kwamba CMG ina nyomi ya mashareholders....while wasafi ni private stake
Khaaa...masikini bite acha tu atukane kuachwa kunaumaa hivoo!Ananiita cabynedvarda Beatrice!!! Ndo huyo keusi hivi!!
Mke wa Rommy kuumia masti Ruge alikua anajali wanawe hivi yule anasimamia shoo zote!!
Huyu bite baada ya kuachwa akaanza nyodo,matusi na kejeli daily!!!
Sent using Jamii Forums mobile app