TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nadhani wewe ni tahira, kwa mujibu wa wadau mafala kama wewe wanaoni_attack wamenieleza kinagaubaga kuwa hiyo document ya mange ya kuonyesha nani ana own nini na nani ha_own nini imetoka TCRA na kadri nilivyokuwa nikibisha wakanieleza niingie katika tovuti ya TCRA kujilidhisha ili niache kubisha.
.
Sasa naomba unijuze brela wanasajili majina ya kampuni au wanatoa license za media? Maana form ya mange siyo ya brela ni ya TCRA tena ya maombi ya kupatiwa license
Kuna mengi unatakiwa ujifunze, kumbe unafahamu kuwa BRELA ndio wasajili wa kampuni, Sasa sema Licence ya Biashara na Usajiri wa kampuni UPI uwa unaanza!?
 
clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Yaalah!
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiria tamko kutoka kwa CAG kama ataenda kufanya audity....
 
Back
Top Bottom