roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Kwenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda wapi?
WiseUnajua wenzetu wa nchi zilizoendelea walishaona ujinga kama huu ndiyo maana wakaweka mtu anayeitwa msemaji mkuu. Sasa hapa kwetu hawa waandishi uchwara wanavamia na kumhoji mtu yoyote na wahojiwa walivyo wajinga wanaongea hovyo.
nilikua namwelewa xn boss ruge.
Hili ni zaidi ya jibu.shida kubwa nchi yetu ipo katika mfumo ambao mkuu akishaonekana yupo upande gani basi woooooooooooooooote nao huonekana upande huo huo ilimradi ionekane mawazo yao ni mamoja, mfano upo kwa maadui nao pia wamejichanganya kusifu lakini wengine wameenda mbali zaidi mpaka kumuita kaka yote haya dhamira ni ile ile tu mkuu kapendezwa.
Lakini imagine kama mkuu angepotezea basi amini usiamini hili zogo looooote usingeliona