othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Dua njema uombewa kila mja.Eeeh unataka ampe mihangaiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua njema uombewa kila mja.Eeeh unataka ampe mihangaiko?
Acha kabisaa!!!;nimetoa choziDah siku zote tangu amefariki sikuwa najisikia vibaya sana km muda ule jeneza linashuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekufa kafaaaa hayo na Mungu wake waweza saliwa na mbinguni usifike so Ruge atadeal na Mungu sio wanaadamuKuzikwa na kanisa hakumuondelei dhambi mkuu, yaani hapa kanisa langu katoliki limeonesha UDHAIFU mkubwa sana, alikuwepo maaskofu wawili pale uwanjani Gymkhana na walitoa salamu za kumsifu Marehemu na kuomba aliyotenda yaendelezwe, kuacha kuongoza mwili wake kaburini ni unafiki mkubwa sana bora wasingehudhuria toka mwanzo..
Hata Mimi nashangaa, mama mzima anaitwa baby as if walikosa majina.
Waume zao sawa ila kwamba wao wamefurahi sidhani, ukizingatia marehenu alikuwa anatoa matunzo ya watoto