TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kuzikwa na kanisa hakumuondelei dhambi mkuu, yaani hapa kanisa langu katoliki limeonesha UDHAIFU mkubwa sana, alikuwepo maaskofu wawili pale uwanjani Gymkhana na walitoa salamu za kumsifu Marehemu na kuomba aliyotenda yaendelezwe, kuacha kuongoza mwili wake kaburini ni unafiki mkubwa sana bora wasingehudhuria toka mwanzo..
Aliyekufa kafaaaa hayo na Mungu wake waweza saliwa na mbinguni usifike so Ruge atadeal na Mungu sio wanaadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom