TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?

Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini

Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba

Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini

Ujirani na Parokia yake ya Itahwa

Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana

Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na KATEKISTA ikishuhudiwa viongozi hao wa kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.

Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.

Mwisho wa RUGE imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na KANISA lake.

The very last RESPECT imeua yote.
hesabu zake alishaziwakilisha siku nyingi mbele ya,,mzee wa siku,,kuzikwa na kadinali au papa haisaidii kitu..
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
kama peponi tunaingia,,kwa mujibu wa law of karma,,basi sawa,,tutajua siku tukikutana huko..
 
Pitia Post zangu za juu kidogo..Huwa Sirudii Majibu niliyoyatoa......
Hayo mmaandiko uliyoyaweka hayakumaanisha kanisa physically, ni tafsiri ya kujenga imani, kanisa la roman catholic lilitoka huko urumi halikuanzishwa Israel alipokuwepo Yesu...
 
Mwili wa Ruge umehagwa na kuzikwa kisanii.

Ukweli ni kwamba Wahaya hatujamkataa Ruge ila yeye alitukataa sisi niambie kwa sifa zote anazotajwa kuwa nazo aliwekeza nini BUKOBA

Jambo la pili alijiandaaje na habari za Mungu?

Lakini pia aliwasaidiaje wasanii wa Bukoba?
Acheni unafiki uyu akichopanda ndichokavuna sikushangaa kuona anazikwa na katekista sikushangaa kukosa mahubiri na sadaka, sukushangaa kukosa wanakwaya japo uwanjani walikuwepo wachungaji Mapadri mpaka maaskofu walikuwepo lakini wote hao waling'amua kuwa hakuwa na sifa ya kuzikwa Kikiristo.

Apandacho mtu ndicho atavuna alipanda kwa wasanii akamuacha Mungu na kweli kazikwa na wasanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuwekeza bukoba na sheria za rc wapu na wapi,unamix mambo mengi mkuu ,shortly ni kua Rc kuna utaratibu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kuandika kwanza ndugu, sijui ulikuwa unawahi wapi....By the way sijaona sababu ya msingi hapo kwenye maelezo yako
 
Ruge alikuwa sawa ktk maisha yake ya duniani hakutaka kuchanganya giza na mwanga au kuwa vuguvugu hivyo kwa upande alioutumikia kwa zaidi ya miaka 20 wamemtendea haki kwa heshima na taadhima yaani THT, wasanii na waandishi wa hsbari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mkatoliki lakini sikupenda ibada ya Ruge kuongizwa na katekista hapa mapadre na maaskofu mtujibu kwamba nyie mmekuwa wahukumu wakati muhukumu ni mungu mwenyewe msitukatishe tamaa ya kushika imani hii katoliki ya mitume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...

Halidanganyi wala Halidanganyiki
Mkuu acha uongo Yesu Kafa akiwa Dhehebu la Kiyahudi kama Desturi ya Waisrael... Lete Ushahidi Kanisa lilianzishwa na Yesu.....

Kihistoria yasemekana Waksrito wa Mwanzo walianza baada ya kifo cha Yesu but Yesu hakuwa Christian.

History of Christianity -- With this cultural and religious backdrop, the ministry of Jesus began. Jesus was a Jew. He observed the Jewish faith and was well acquainted with the Jewish Law. In His early thirties, Jesus traveled from village to village, teaching in the synagogues and healing those who were suffering. Jesus' teaching was revolutionary. He challenged the established religious authorities to repent from their self-righteousness and hypocrisy and realize that the Kingdom of God is rooted in service and love. Jesus' teachings stirred the hearts of people and created instability, something the Jewish religious authorities feared. Soon, a faithful group of men began to follow Jesus and call him teacher. These men became His disciples. Jesus taught His disciples about the will of God and about the "new covenant" God will bring to humanity through Him. Jesus helped them to see that mankind is bound to the pain and futility of life as a result of sin. Due to sin, mankind lost its relationship with God. The purpose of this "new covenant" is to restore those who accept it into a renewed fellowship of forgiveness and love with God. What is this new covenant? Jesus himself would pay for the sins of all humanity by being crucified unjustly on a Roman cross. Three days later, He would rise to life, having conquered death, to give hope to a hopeless world. Well, it happened just as Jesus taught, and His disciples were witnesses to an amazing miracle. Their teacher, Jesus of Nazareth, died and three days later rose again to become their Messiah. Compelled by a great commission to share the love that the God of this universe had imparted upon them, the disciples began to proclaim this gospel of hope throughout the territory. Thus, from a small group of ordinary men that lived in a small province in Judea about 2000 years ago, the history of the Christian Church began, and the Christian Faith has since spread to the rest of the world. Their gospel message was simple: "For God so loved the world, that He gave His only begotten Son, that whosoever believeth in Him should not perish, but have everlasting life" (John 3:16)...
 
Huko ni kujipa sympathy tuu...

Ni heshima kwa familia aliyoicha na kama kusema ni heshima kwake kwa aliyoyaacha hapa duniani kama angezikwa na Kanisa....


Wakristo Wakatoliki Jumuiya ndogo ndogo ni muhimu sana
Sio jumuiya ndogo ndogo tu za kikanisa bali na amri zingine za kanisa na za Mungu.

Kuna jirani alikuwa anasali jumuiya, analipa zaka na michango, anahudhuria kanisani siku za jumapili, alipokufa kanisa lilikataa kumzika sababu alikuwa hajafunga ndoa na mwanamke aliekuwa anaishi nae kama mke wake.
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Umetoa nadharia ambayo sio ya Kisomi kabisa.. Imejaa Mihemko, taratibu na sheria za kanisa zipo wazi.. Na kanisa hlisemi likikuzika Ndio Utaenda peponi au la.. Hatujui nani mbinguni anaenda au la..

Mimi naona Kanisa langu Takatifu la Mitume limefanywa jambo jema kwa sababu halijawa na double standards katika hili.. Ruge hakustahili kuzikwa na kanisa kwa aina ya maisha alioyayaishi hapa duniani!
 
Back
Top Bottom