Mwili wa Ruge umehagwa na kuzikwa kisanii.
Ukweli ni kwamba Wahaya hatujamkataa Ruge ila yeye alitukataa sisi niambie kwa sifa zote anazotajwa kuwa nazo aliwekeza nini BUKOBA
Jambo la pili alijiandaaje na habari za Mungu?
Lakini pia aliwasaidiaje wasanii wa Bukoba?
Acheni unafiki uyu akichopanda ndichokavuna sikushangaa kuona anazikwa na katekista sikushangaa kukosa mahubiri na sadaka, sukushangaa kukosa wanakwaya japo uwanjani walikuwepo wachungaji Mapadri mpaka maaskofu walikuwepo lakini wote hao waling'amua kuwa hakuwa na sifa ya kuzikwa Kikiristo.
Apandacho mtu ndicho atavuna alipanda kwa wasanii akamuacha Mungu na kweli kazikwa na wasanii.
Sent using
Jamii Forums mobile app