T S H E K E D I
Member
- Jan 24, 2019
- 14
- 19
Tumuachie mungu hili tukio kwani limeshapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko instagram wananzengo wanasema ruge kapewa sumu ya muda mrefu.
Ata alivyokwenda india walimuambia labda ajaribu SA matibabu.
Haikuwa tatizo la kubadili organ tu,
Wanasema alichukulia poa sana tatizo lake muda alioanza kuhangaika nje ilikuwa late
SIO MANENO YANGU , NMEONA INSTAGRAM kwa theoriginaleast
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichukulia poa ki vp mkuu kwamba alidharau?
Umeishia darasa la ngapi kwanza kabla ya kukupa jibu.Ukiwa raia hata Kama huna pesa utatibiwa malipo baadae
Ukiwa raia hata Kama huna pesa utatibiwa malipo baadae
Huko instagram wananzengo wanasema ruge kapewa sumu ya muda mrefu.
Ata alivyokwenda india walimuambia labda ajaribu SA matibabu.
Haikuwa tatizo la kubadili organ tu,
Wanasema alichukulia poa sana tatizo lake muda alioanza kuhangaika nje ilikuwa late
SIO MANENO YANGU , NMEONA INSTAGRAM kwa theoriginaleast
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa "uhalo" ndio nini?
Mkuu hapa napinga kama hakutubu ni mdhambi tu, haimaanishi kwakua aliwasaidia wengi dhambi zake zimefutwa, Hapana Haijawahi kuwa hivyo na kamwe haitakua hivyo, kutubu ni lazima kwani imeandikwa "watakaofungiwa Duniani na mbinguni pia wamefungiwa"Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Bora alikuwa GENEOUS na sio GENIUS!
wafia dini mnafurahisha sanaMkuu hapa napinga kama hakutubu ni mdhambi tu, haimaanishi kwakua aliwasaidia wengi dhambi zake zimefutwa, Hapana Haijawahi kuwa hivyo na kamwe haitakua hivyo, kutubu ni lazima kwani imeandikwa "watakaofungiwa Duniani na mbinguni pia wamefungiwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
hata Ruge angefurahi kama angesikia mnazungumza ya ukweli...tumuombee na sio kumsemezea ya uongowafia dini mnafurahisha sana
Hili la kutubu ni moja ya maeneo makubwa sana yatakayo wapeleka Wakatoliki motoni.Mkuu hapa napinga kama hakutubu ni mdhambi tu, haimaanishi kwakua aliwasaidia wengi dhambi zake zimefutwa, Hapana Haijawahi kuwa hivyo na kamwe haitakua hivyo, kutubu ni lazima kwani imeandikwa "watakaofungiwa Duniani na mbinguni pia wamefungiwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kanisa limegubikwa na kashfa dunia nzima ya maaskofu wake kubaka watoto miaka na miaka, mpaka juzi askof mkuu wa marekani kavuliwa uaskofu. Ni barani Afrika tuu vijana waliolelewa ndani y kanisa na seminari zao hawajajitokeza kulishitaki kwa kulawitiwa wakiwa mashuleni, etc Nadhani ni sababu ya mila za kiafrika, hatusikilizi wanyonge. Lakini mtu mwenye kujielewa hatajihusisha na hili kanisa. Hatujui matakwa ya Ruge yalikuwaje. Hatujui uhusiano wao na huyo aliyeendesha misa. Watazania tujifunze kumind our own business..Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?
Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini
Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba
Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini
Ujirani na Parokia yake ya Itahwa
Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana
Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na KATEKISTA ikishuhudiwa viongozi hao wa kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.
Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.
Mwisho wa RUGE imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na KANISA lake.
The very last RESPECT imeua yote.