OverdoRuge Mutahaba ataendelea kutajwa kila kipindi siku zote Kama yeye mwenyewe alivyoacha ujumbe kuwa akifa watu wasilie bali washerekee mafanikio ya kuenzi na kuendeleza yote aliyochangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OverdoRuge Mutahaba ataendelea kutajwa kila kipindi siku zote Kama yeye mwenyewe alivyoacha ujumbe kuwa akifa watu wasilie bali washerekee mafanikio ya kuenzi na kuendeleza yote aliyochangia.
Hiyo leseni yao ndio walichoombea hivo , wamezidisha waache hiyo.It's none of our business hata miaka mitano wanaweza omboleza
Ndio maadili yao hayo kweli ? Kufanya chochote wanachotaka? Au unaota weye?Ni mali yao wanaweza kufanya watakacho
Ingekua wanafanya wanachotaka wasingeombea leseni , vyombo vya habari vina maadili yakeNaota kivipi....ile ni mali yao ni chombo chao cha biashara wanaweza kuamua kufanya chochote kuhusiana na msiba wa Ruge
Kwenye public lazima upangiwe ndio maana mnaomba leseni ya kufanyia kazi , kweeli Ruge kaondoka na clouds media , wengine hamjui hata media zinaendeshwa vipi.Usitupangie
naomba nijibu haya!Katekista ni muumini wa kawaida kabisa kwa maneno mengine ni kwamba kazikwa na muumini mwenzake
Hujanielewa...Ingekua wanafanya wanachotaka wasingeombea leseni , vyombo vya habari vina maadili yake
Maana yake ni universalUnajua maana ya katoliki??tafuta kwanza alafu uje.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Ehe .. elezea nieleweHujanielewa...
Huyo ni bosi wao wanaweza wakaamua kumtangaza ama kufanya maombolezo kila siku and nobody no institution can do anything about it...you get my driftEhe .. elezea nielewe
Media ni kwaajili ya umma , inabidi waonyeshe kwa kiwango , na maisha yaendelee, kazikwa imetosha , lakini kama wanamlilia nyumbani kwao haina shida hata walie miaka kumi . Hiyo ni dalili tosha kuwa Ruge kaondoka na clouds , na ya kwamba hamna kiongozi hapo., unapofanya kitu in public weledi ni muhimu , huwezi fanya utakavyo , hapo ndipo mnatuonyesha mapungufu yaliopo.kwenye hiyo media.Huyo ni bosi wao wanaweza wakaamua kumtangaza ama kufanya maombolezo kila siku and nobody no institution can do anything about it...you get my drift
Mimi nimejibu tu kuhusu katekista, ila sio mkatolikinaomba nijibu haya!
Ibada huwa kwaajili ya marehemu au waliopo pale kwenye mazishi?
2:Kuzikwa na padre au katekista ina athari yoyote kwa marehemu katika safari yake ya milele?
MC walikuwa ni baby kabae na Hasan ngomaohhh mc hv alikua nan..ile post yako ya juz ya makonda jaman bado nacheka..eti yako had kwenye kot linaonekana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
MC walikuwa ni baby kabae na Hasan ngoma
Na alilivaa makusudi lisionekane na bado wambea tuliliona
Sent using Jamii Forums mobile app