Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Kumbe clauds ni media ndogo apa tz!?!?Anamaanisha hizo media zingine zenye viongozi wenye weledi kwanini waige mfumo wa Ruge wa media ndogo?
Hapo mwenye tatizo Ruge au walio iga kwake?
Kifupi wengine wajitathimini.
Ndogo wakati Ruge anaanza kuajiri none professional radio presenters wakati huo.Kumbe clauds ni media ndogo apa tz!?!?
Inasikitisha sanaZembwela,
Wasanii wa bongo muvi Sijui bongo fleva , wachekeshaji wale wa Joti na wenzie,
Yaani masihara kwa kweli