RUGE: nitatoa tamko kesho

RUGE: nitatoa tamko kesho

Uhuni juu ya uhuni. Hivi nani kaisajili hii radio? TCRA wapo kweli?
 
walikuwa wanajaribu kuigiza kwani tunampango wa kumuenzi mzee jongo kwa kuanzisha mchezo wa redio, na kwa jinsi wananchi mlivyoyapokea maigizo haya naamini vijana wangu wanavipaji
wenu RUGE MUTAHABA
asanteni
 
Ni Ruge yule msela aliyezaa na Zamaradi au? Hako kajamaa nako si kajinga tu...Mimi kuna siku nilitaka kukakunja...Ni kahovyo sijawahi kuona..kamefanana na Mchomvu wanatofautiana vyeo tu.!!
 
Hivi ni kweli au ni KiK tu ya kuuza album zao?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Sasa ni bwana gani walikuwa wanamgombania?wanaume tumekuwa wachache sana mpaka tunagombewa.
 
Ni Ruge yule msela aliyezaa na Zamaradi au? Hako kajamaa nako si kajinga tu...Mimi kuna siku nilitaka kukakunja...Ni kahovyo sijawahi kuona..kamefanana na Mchomvu wanatofautiana vyeo tu.!!

kwani clouds kuna kina ruge wangapi hako hako ulikotaka kukakunja
 
Kitendo cha Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kupigana studio leo mchana.

Boss wao Ruge Mutahaba ameahidi kutoa tamko kesho.

Source: Millard Ayo

Drama wanazuga haoooo duh kweli wamefulia hadi wanatafuta kick kwa njia zisizofaaa!
 
Japo si msikilizaji mzuri wa radio nahisi maigizo yalipitiliza zaidi ya script.
 
Yule Dada nadhani anacheza Martial arts, maana jamaa alikuwa anapiga kelele za kuomba msaada. Nimesiliza hizo ndondi kwenye site ya WAVUTI.
 
Wakuu wengine hatusikilizi hiyo redio so hatujui kilichotokea, mtupe habari kamili SI nusu nusu

Bonyeza link usikilize yaliyojili...

http://soundcloud.com/ronny-charles-rothbletz/ugomvi-ndani-ya-clouds-fm
 
Back
Top Bottom