RUGE tuamuangalie upande wa pili

Hivi kuoa ni lazima?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukifatilia kisayansi kwa kila kiumbe hai kuna mambo anatakiwa ayatimize kama mungu kampa uwezo huo wa kiyatimiza lakini pia ili kuyatimizia hayo binadamu tuliwekwekewa misingi iliyo katila dini na tamaduni zetu na misingi hiyo ni kuzaliwa kuzaa au kuzalisha nikisema kuzalisha ni mwanaume kuwa na mtoto kuishi na kufa basi kwa hay yote ili uweze kutimiza kihalali basinunapaswa kuoa ili uweze kuhalalisha kipengele cha kuzaa na kuzalishwa
 

Mitume na Yesu hawakua na watoto, hawakujihusisha na zinaa, walitoa miili yao kua dhabihu na kuamua kumtumikia Mungu sasa Ruge anafit vipi kwenye huo mlinganisho wako.
 
Labda ungesema miaka 45 ndo unaanza uzee,hiyo miaka 60 umechukua miaka ya kustaafu mkuu,Uzee unaanza miaka 45,Usidanganye watu.

Huo ni utu uzima si uzee, uzee Tanzania ni kuanzia 60, kumbuka kuna vipindi tano vya maisha: Mimba(miezi 0-9),utoto(mwaka 0-16), ujana(miaka 16-35), utu uzima(miaka 35-55/59) na Uzee (miaka 55/60-kifo)

Najua utauliza hapo kwenye Utoto na Ujana hiyo miaka. kuna Umri wa utoto na Umri wa kujitambua ndio maana.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Jamani acheni uswahili kwani kuwa role mode lazima uoe?au ni tabia tu,wangapi wameoa u kuolewa na ni washenzi tu,kwani kuoa au kuoa ni lazima,je utajuaje kama Mungu angemjalia angeoa hata akifika miaka 50 au 70,si hata Sir Njonjo yule wa Kenya alioa akiwa na miaka 50 na akina Kapuya bado wanaoa,kila mtu ana malengo yake,tusilazimishane,wewe unaona marehemu kama mtu aliyefanikiwa huwezi kujua kuwa yeye alikuwa bado anaona hajafanikiwa.Basi waambieni na maaskofu wa katoliki waoe sababu wanakuwa sio role model.Mumekaa kumsimanga marehemu kutwa wakati ya kwenu yamewashinda.
 

Sasa mkuu umemkaripia mdau na wewe umeleta hoja dhaifu pia mfano nikuulize haya maswali

Kwani kuwa na ukimwi ni kukosa maadili? (Mbona umeweka kama mfano wako?)

Yesu hakuoa na wala hakuwa na watoto kifupi hakufanya zinaa vile vile mitume na mapadri. Kama Padri akiwa na mtoto na asiache wito wa upadri na kuoa huyo ni mhuni. (Vatican convention II)

Haya turudi kwenye misingi, jamii zimeweka taratibu kama ukionelea zinaa hutaikwepa unapaswa kuoa/kuolewa kinyume na hapo utakuwa mpotofu/mhuni/mdhambi

Vatican convention II imerahisisha kwa wakatoliki kuwa ukipata mtoto wa kwanza nje ya ndoa kuna relief utapata ila akija wa pili inapotea hadi uoe. Mtu mwenye mtoto zaidi ya mmoja bila ndoa ni mhuni/malaya/mzinzi/mdhambi

Huu ni ukweli usiopingika, lazima tuishi kwa kufuata ustaarabu unaokubalika kwa wengi, hatuwezi kuishi bila utaratibu hatujawa wadudu, sisi ni binadamu.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 

"Usipooa acha zinaa" kama mhusika anafanya zinaa hataweza kwepa kuitwa na kuwa 'mhuni'.

Lazima tuishi kwa ustaarabu uliokubaliwa na jamii, hatuwezi ishi hovyo hovyo sisi si wadudu.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja zingine bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto si anao mkuu ? Kwani familia ni NN ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…