REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Mtu mwenye miaka 49 ni mzee?Ni mzee wa miaka 49
Uzee ni kuanzia 60.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye miaka 49 ni mzee?Ni mzee wa miaka 49
hivi unaweza juzipata wapi hizo nyimbo za vinega??Nakumbuka Kuna album zilitoka zinaitwa ANTI VIRUS na pia nakumbuka NASH MC na wimbo wake unaitwa ZIMA
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hii signature inaniua mbavu kwakweliNdio mkuu hahahahahaha
mpuuzi mpuuzi tu
Ila napata nayo tabu kweli kuna watu wanajua nawatusi ujueYani hii signature inaniua mbavu kwakweli
Huu ni mtazamo duni sana. Yaani mtu ambaye anaishi bila kuoa au kuolewa anakua mhuni!!!!
Yesu hakuoa na Mtume Paulo wote hawa hawakuoa kwa sababu hiyo tuwaite wahuni? Si sawa.
Jiulize kwa nini wewe umeoa? Hayo mambo unayoyapata baada ya kuoa uwezi kuyapata ukiwa haujaoa...kama ni watoto Ruge Kawabata na kama ni burudani amekua akipata kama kawa.
Tofauti ni kwamba yeye aliamua kutofungamana na upande mmoja ambao ungemfanya awe mtumwa...[emoji2][emoji2]
Labda ungesema miaka 45 ndo unaanza uzee,hiyo miaka 60 umechukua miaka ya kustaafu mkuu,Uzee unaanza miaka 45,Usidanganye watu.Mtu mwenye miaka 49 ni mzee?
Uzee ni kuanzia 60.
Labda ungesema miaka 45 ndo unaanza uzee,hiyo miaka 60 umechukua miaka ya kustaafu mkuu,Uzee unaanza miaka 45,Usidanganye watu.
Jamani acheni uswahili kwani kuwa role mode lazima uoe?au ni tabia tu,wangapi wameoa u kuolewa na ni washenzi tu,kwani kuoa au kuoa ni lazima,je utajuaje kama Mungu angemjalia angeoa hata akifika miaka 50 au 70,si hata Sir Njonjo yule wa Kenya alioa akiwa na miaka 50 na akina Kapuya bado wanaoa,kila mtu ana malengo yake,tusilazimishane,wewe unaona marehemu kama mtu aliyefanikiwa huwezi kujua kuwa yeye alikuwa bado anaona hajafanikiwa.Basi waambieni na maaskofu wa katoliki waoe sababu wanakuwa sio role model.Mumekaa kumsimanga marehemu kutwa wakati ya kwenu yamewashinda.Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
we mjinga maadili ni kuoa, kuwa na familia
inakuwaje wenye ukimwi wengi ni wanandoa?
badilisha mtazamo
unataka kusema Yesu hakuoa so hakuwa na maadili?
au mapadri hawana maadili?
mkapa kipindi anapewa nchi hakuwa na mke before
nadhan hauna backup data za kumwangalia Ruge upande wa pili
angalia tena upande wa pili...lakini sio kwa hoja hizi
Jamani acheni uswahili kwani kuwa role mode lazima uoe?au ni tabia tu,wangapi wameoa u kuolewa na ni washenzi tu,kwani kuoa au kuoa ni lazima,je utajuaje kama Mungu angemjalia angeoa hata akifika miaka 50 au 70,si hata Sir Njonjo yule wa Kenya alioa akiwa na miaka 50 na akina Kapuya bado wanaoa,kila mtu ana malengo yake,tusilazimishane,wewe unaona marehemu kama mtu aliyefanikiwa huwezi kujua kuwa yeye alikuwa bado anaona hajafanikiwa.Basi waambieni na maaskofu wa katoliki waoe sababu wanakuwa sio role model.Mumekaa kumsimanga marehemu kutwa wakati ya kwenu yamewashinda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ni standards ambazo zimewekwa na binadamu tu sijui ukifika umri fulani lazima uoe, Ruge kasoma Marekani na kama ujuavyo tatizo la divorcee lilivyo kubwa US esp ukiwa kwenye entertainment industry nadhani hiyo pia ilimuathiri.
Ukitaja rapper mmoja aliyeoa mimi nataja marapa watano ambao wako single
Be specific mfano wa kuigwa kwa sabab hajaoa au kwa sabab tajir namba moja dunianiJeff bezzos CEO wa Amazon ndio tajiri namba moja duniani ana miaka 54 na yupo single na huyo ndio mfano wa kuigwa sasa kwenye jamii
Watoto si anao mkuu ? Kwani familia ni NN ?Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
Kwa sababu ya vyote viwiliBe specific mfano wa kuigwa kwa sabab hajaoa au kwa sabab tajir namba moja duniani
That's goodKila mmoja aishi anavyotaka
Lakini hajawabaka , hao mengine si makubianoNa kuchezea wanawake haswa wa Clouds na wengine aliowazalisha bila hata kuwapenda.