kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Vipo kuhusu Idd amin,, Adolf Hittler je?Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo kuhusu Idd amin,, Adolf Hittler je?Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu
Kwani kila mtu lazima aoe au kuishi na mke au kuwa na familia? Nani aliweka hilo kuwa ni jambo la lazima?Tangu kutokea msiba wake sifa lukuki zimekuwa zikitolewa kuhusu maisha na kazi zake ambazo nyingi ni za kweli. Lakini kama tujuavyo hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo ukitaka kumuelezea mtu halisi lazima na upande wa mapungufu yake uyagusie.
Kwangu mimi Ruge licha sifa zote , hakuwa mfano wa kuigwa kwa maisha ya kijana na nitaeleza sababu zaangu.
Ruge amefariki akiwa na umri wa miaka 49 lakini hakuwa na maisha ya familia, kwa maana ya mke na watoto.
Ameishi maisha ya kihuni yasiyofaa kuigwa kwa vijana wanaotafuta kuishi vizuri. Ruge angekuwa ni mtu aliyefanikiwa kimaisha, msiba wake ungekuwa nyumbani kwake na sio kwa wazazi wake.
Vijana wengi alioibua vipaji vyao japo wengi wamefanikiwa kupata pesa lakini wengi wao wanaishi maisha ya kihuni.
Ndoa zao zimeshindikana na wamekuwa watu wa kuonyesha vitendo vya aibu katika jamii. Hili nalo naweza kulihusisha na Ruge kwani mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake.
Zipo pia tetesi kuwa hata pale Clouds wafanyakazi wengi wanajihusisha na vitendo vya kishoga na kwa msemo wa kiswahili kuwa lisemwalo lipo, huenda likawa na ukweli ndani yake na Ruge akawa ni sehemu ya jamii hiyo.
Nimalize tu kwa kusema Ruge amejitahidi katika sehemu moja ya maisha na kufanikiwa, kiuchumi, ila upande wa pili wa maisha , kimaadili, hakufanikiwa hata kidogo.
Kama binadamu mwenye imani kiasi, namwombea kwa muumba wake aipumzishe roho yake mahali zinakopumzishwa roho zote , Amen
Ruge aliwekeza mda wake mwingi katika kutafta pesa na sio familiya
Hata akiwa hai alikiwa ndani ya mipaka ya mungu. Au ukiwa hai unakuwa chini ya shetani?Nyie wadamu kazi yenu imekwisha, mlikuwa na Ruge for 49 years, sasa muacheni maana yupo ndani ya mipaka ya Mungu, ambapo hamuhusiki na lolote huko alipo now.
Every coin has two sides.Steven foundries Apples [emoji520]
Edward Heath waziri mkuu wa Uingereza miaka ya 70
bahati nzuri nisingekua kwenye position ya kuyasikiaSawa, angekuwa ni mzazi au mlezi wako, nafikiri ungefurahia haya pale unaposikia watu wakinena mabay juu yao 😛😛😛😀😀😀
There you goEvery coin has two sides.
Huo ndio uhuni tunaousemaKwani kila mtu lazima aoe au kuishi na mke au kuwa na familia? Nani aliweka hilo kuwa ni jambo la lazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuitwa sio tatizo kwangu ila ukweli lazima usemwe
Kuna jamaa namfahamu ni 45 years hana mpango wa kuoa na hana mtoto alikuwa kiwembe balaa ( ni dk bingwa)Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
Hatutangazi mabaya tu hata mazuri tunayasema kwani alikuwa binadamu mwenye pande mbili kama wengi tulivyoMarehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu
Kwenye jamii zetu za kimaskini ni lazima
Tunahitaji kupata maana au tafsiri ya neno ''mafanikio"Watu wengi wenye mafanikio makubwa huwa hawaishi maisha yaliyozoeleka na jamii.
Tafsiri ya mafanikio ni subjective.Tunahitaji kupata maana au tafsiri ya neno ''mafanikio"
Jamaa hata kama hujui lakini anakupa moyo ya kuwa huna kipaji ila juhudi na nia zitakufanya uwena kipaji hicho unachohitajiMuhamasishaji wa nini...???
Na mpuuzi mpuuzi wamaanisha nini..???
Funguka
Sent using Jamii Forums mobile app