RUGE tuamuangalie upande wa pili

RUGE tuamuangalie upande wa pili

Inatakiwa ufungwe jela maana umetoa bandiko linaloudhi watu. Wewe jifikirie had rais kaumia kwa kifo cha ruge wewe ni nan usiumie nawaagiza polisi ufungwe jela maana hujaumia kwa kifo cha Mwana ccm ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga Tena nakuonya acha ujinga rais ni binadam sema ye anamamlaka kila mmoja anajisikia anavyo hisi raisi akilia unataka wote tulie wengine watacheka jifunze sana
 
Mimi ni shuhuda kidogo wa hayo yasemwayo na ruge mutahaba japo sina ushahidi wa moja kwa moja, nina mdogo wangu yeye ni mwanamuziki amefanya juhudi sana kuzurula kuifuata Fiesta na kusahau shule sasa basi grand finale ya 2016 ndipo akaniambia Bro aisee hawa majamaa sio wameniomba "Nyuma" ndio nitoboe kimziki naombeni tu nirudi shule nilicheka sana na kuona dogo anatafuta gia ya kuhurumiwa arudi shule.
.
Sasa baada ya Dudu kuanza kueleza hayo hadharani nikaanza kuona kidogo hili jambo yawezekana lina uhalisia fulani kuna msanii yupo THT jina namuhifadhi bado ni mchanga sana anasema Wadada warembo wote wa pale kapitiaaa mzee marehemu. "Sina ushahidi wa moja kwa moja ila ndivyo yanavyosemekana"
anybody can do what he did...and maybe worse than him....
 
Ruge alikuwa mtu mwenye mawazo huru. Na watu wengi wa jamii yake sio wafuata mkumbo. Eti kwa kuwa wanaume wengi huwa wanaoa wakifikisha umri fulani basi na yeye aige. Watu wengi wenye mawazo huru wamefanikiwa sana kimaisha (si lazima kifedha) na wanaishi kwa terms zao. Wewe ukiona kuoa ni lazima oa ila usitake kila mwanaume aoe akifikisha umri fulani.
Asante Sana👊👊👊👊
 
Mimi sikuwahi kumfahamu huyo bwana personally lakini nahisi sisi watanzania tuna shida na generally tunahitaji kubadilika kwenye mambo yafuatayo:
1. Kwanini mtu akifa kama alikua na mabaya yake hatutaki yasemwe? Huu ni upuuzi na unafki wa kiwango cha juu! Yaani mtu hata kama alikua jambazi au muuaji basi akifa tunamgeuza malaika na kusema mazuri tu.. Jamii itajifunza vipi? Mtu kama alikua muovu ASEMWE akiwa hai na akifa pia tuseme huyu alikua mwizi! Familia yake tayari itakua inajua huyu alikua mtu wa aina gani kwahiyo wala haitaumia. Hata ikiumia potelea mbali litakua funzo kwao na kwa wengine wenye tabia hizo wajirekebishe.
2. Tujifunze kutofautisha kati ya mtu anaefanya biashara zake binafsi na mtu anaesaidia jamii. Simply kwakua mtu anajihusisha na jamii haimaanishi mtu huyo anasaidia jamii. Kuna biashara zingine ukiwa unazifanya lazima uwe close na jamii maana ndio wateja wako na hiyo haikufanyi wewe kua mtakatifu na kupewa sifa wakati wewe unatafuta riziki kama watu wengine. Mtu ahesabike kuwa anasaidia jamii endapo tu anafanya hivyo nje ya biashara zake na pasipo kutegemea kipato cha sasa au cha baadae kutokana na hicho anachofanya!
3. Mtu kua maarufu haimaanishi mtu huyo ana akili saaana kuliko watu wengine! Kuna madaktari, waalimu na wataalamu lukuki nchi hii wanafanya mambo makubwa sana lakini hakuna anaewatambua na hata wakifa hutasikia sifa zao. Ngoja sasa afe msanii au mtu maarufu ambae kiuhalisia hana mchango wowote wa maana, uone atakavyopambwa utadhani yeye ndio nani sijui. Matokeo yake kizazi cha sasa watoto hakuna anaetaka kusoma wanataka kuwa wasanii/wauza sura/ma slay queen ili wawe maarufu. Hichi ndio kizazi tutakachokirithisha nchi?
 
Aisee nimesoma baadhi ya maoni humu ndani pamoja na hoja yako mtoa mada nimegundua humu ndani wengi wazito sana kufikiri
Kwani hivi kuoa na kua na familia ni lazima?? Na usipooa ndio unakua mfano mbaya kwa jamii?? Tujifunze kwa wenzetu bana mbona watu kibao matajiri na mashuhuri dunia hii hawajaoa kuoa me naona sio lazima kila mtu abaki vipaumbele vyake familia yenyewe mbona unaeza ipata tu bila ndoa sasa kwanini ujibebeshe zigo la misumari
 
Jeff bezzos CEO wa Amazon ndio tajiri namba moja duniani ana miaka 54 na yupo single na huyo ndio mfano wa kuigwa sasa kwenye jamii
 
Mimi ni shuhuda kidogo wa hayo yasemwayo na ruge mutahaba japo sina ushahidi wa moja kwa moja, nina mdogo wangu yeye ni mwanamuziki amefanya juhudi sana kuzurula kuifuata Fiesta na kusahau shule sasa basi grand finale ya 2016 ndipo akaniambia Bro aisee hawa majamaa sio wameniomba "Nyuma" ndio nitoboe kimziki naombeni tu nirudi shule nilicheka sana na kuona dogo anatafuta gia ya kuhurumiwa arudi shule.
.
Sasa baada ya Dudu kuanza kueleza hayo hadharani nikaanza kuona kidogo hili jambo yawezekana lina uhalisia fulani kuna msanii yupo THT jina namuhifadhi bado ni mchanga sana anasema Wadada warembo wote wa pale kapitiaaa mzee marehemu. "Sina ushahidi wa moja kwa moja ila ndivyo yanavyosemekana"
hahahaha........ ana bahati walimuomba.... angezubaa wangemnyang'anya nyuma kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom