RUGE tuamuangalie upande wa pili

RUGE tuamuangalie upande wa pili

Kwa aneelewa maisha ya binadamu na ubinadamu post yako ni uchafu mtupu. Mitume na manabii wengi hawakuwa na familia ila waligusa kihalali maisha ya watu. Wewe na familia yako unaongeza nini kwenye jamii au mzigo tu tunakuombea utangulie tule hata ubwabwa hutaki?!
 
Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
Naomba unieleweshe. Ni lazima mtu awe role model kwenye kila jambo?
 
- Nasikia
- Inasemekana
- Sina ushahidi ila....


Mpaka sasa sijaona mwenye ushahidi wa mabaya ya Ruge zaidi ya hizo kauli za wambea!

Ruge alikua na mapungufu yake kama wanadam wengine, ila mazuri yake ni mengi na makubwa mno!

Ameacha alama, na jina lake litaishi.

"Wanaokupenda hawakuambii, wanaokuchukia hawakujui"

Rest easy Ruge!

- KANA -

Umemaliza mkuu. Hii in law we call them “hear say evidences”. Not admissible at all.
 
Ruge alikuwa mtu mwenye mawazo huru. Na watu wengi wa jamii yake sio wafuata mkumbo. Eti kwa kuwa wanaume wengi huwa wanaoa wakifikisha umri fulani basi na yeye aige. Watu wengi wenye mawazo huru wamefanikiwa sana kimaisha (si lazima kifedha) na wanaishi kwa terms zao. Wewe ukiona kuoa ni lazima oa ila usitake kila mwanaume aoe akifikisha umri fulani.
 
Mimi ni shuhuda kidogo wa hayo yasemwayo na ruge mutahaba japo sina ushahidi wa moja kwa moja, nina mdogo wangu yeye ni mwanamuziki amefanya juhudi sana kuzurula kuifuata Fiesta na kusahau shule sasa basi grand finale ya 2016 ndipo akaniambia Bro aisee hawa majamaa sio wameniomba "Nyuma" ndio nitoboe kimziki naombeni tu nirudi shule nilicheka sana na kuona dogo anatafuta gia ya kuhurumiwa arudi shule.
.
Sasa baada ya Dudu kuanza kueleza hayo hadharani nikaanza kuona kidogo hili jambo yawezekana lina uhalisia fulani kuna msanii yupo THT jina namuhifadhi bado ni mchanga sana anasema Wadada warembo wote wa pale kapitiaaa mzee marehemu. "Sina ushahidi wa moja kwa moja ila ndivyo yanavyosemekana"
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni standards ambazo zimewekwa na binadamu tu sijui ukifika umri fulani lazima uoe, Ruge kasoma Marekani na kama ujuavyo tatizo la divorcee lilivyo kubwa US esp ukiwa kwenye entertainment industry nadhani hiyo pia ilimuathiri.
Ukitaja rapper mmoja aliyeoa mimi nataja marapa watano ambao wako single
Pointless
 
Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kuoa akifikisha umri fulani,tumwache Ruge apumzike salama kwenye makazi yake ya milele
 
Kwa aneelewa maisha ya binadamu na ubinadamu post yako ni uchafu mtupu. Mitume na manabii wengi hawakuwa na familia ila waligusa kihalali maisha ya watu. Wewe na familia yako unaongeza nini kwenye jamii au mzigo tu tunakuombea utangulie tule hata ubwabwa hutaki?!
Kwa hiyo Ruge kwako ni mtume na nabii wako, pole sana
 
Mtoa mada unataka kutuambia Ruge hana nyumbani kwake binafsi alikojenga?
 
Back
Top Bottom