RUGE tuamuangalie upande wa pili

Kwani kila mtu lazima aoe au kuishi na mke au kuwa na familia? Nani aliweka hilo kuwa ni jambo la lazima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa sio lazima labda kwenu kutafuta pesa ndio jambo la msingi kila mtu na maisha yake
 
Reactions: Qwy
Kuna jamaa namfahamu ni 45 years hana mpango wa kuoa na hana mtoto alikuwa kiwembe balaa ( ni dk bingwa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu
Hatutangazi mabaya tu hata mazuri tunayasema kwani alikuwa binadamu mwenye pande mbili kama wengi tulivyo
 
Hawajamtendea haki kutompeleka nyumbani kwake...one last time


If you clean a vacuum cleaner, doesn’t that make YOU a vacuum cleaner?
 
- Nasikia
- Inasemekana
- Sina ushahidi ila....


Mpaka sasa sijaona mwenye ushahidi wa mabaya ya Ruge zaidi ya hizo kauli za wambea!

Ruge alikua na mapungufu yake kama wanadam wengine, ila mazuri yake ni mengi na makubwa mno!

Ameacha alama, na jina lake litaishi.

"Wanaokupenda hawakuambii, wanaokuchukia hawakujui"

Rest easy Ruge!

- KANA -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…