RUGE tuamuangalie upande wa pili

Na hakuna mtu asiependa kuoa ama kuolewa bali kunakuwa na vijimambo flani vinavyomfanya anashindwa kutangaza nia hasa kwa aina ya kazi anazofanya na aina ya watu anaokutana nao
 
Asante kwa kunitukana ila kama hutaki kuoa lazima uwe na mission nyingine ila Ruge hakuna sababu ni mhuni asiye na maadili, finito
 
Asante kwa kunitukana ila kama hutaki kuoa lazima uwe na mission nyingine ila Ruge hakuna sababu ni mhuni asiye na maadili, finito

bado una expose ujinga wako wa kuoba na kuolewa?

wazazi wako walifunga ndoa kukuzaa?? plz confirm

na kila anayeishi leo hakuna watoto wa kabla ya ndoa, wa nje ya ndoa, wa extra marital affairs? au kama Tukienda kwa standard zako Ruge alitakiwa aoe akiwa na miaka mingapi? imeandikwa wapi? what if alitaka aoe mwakani? haya maswalinmakes your post childish
 

Wala sipo kwenye swala la kuoa mkuu.
 
Mkuu mbona Yesu ni role model wa baadhi ya watu hapa duniani na mpaka anaondoka duniani kwenda mbinguni kama maandiko yanavyosema hakuwa na mke wala demu.

.
 
Mkuu mbona Yesu ni role model wa baadhi ya watu hapa duniani na mpaka anaondoka duniani kwenda mbinguni kama maandiko yanavyosema hakuwa na mke wala demu.

.

Yule alikuwa na Uungu ndani yake!
Hata hivyo yeye alikaa bila kufanya ngono na mwanamke yeyote (hakuzini kabisa wala kufanya uasherati)!

Kwa hiyo kama mtu anaweza kukaa bila kuoa na bila kuwaka tamaa ya kufanya uzinzi wala haina neno kwa mujibu wa Paulo Mtume!

Sasa je wanaume wangapi wanaoweza kutokuwaka tamaa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina maana hiyo, lakini je anafaa/afatwe kuongoza jamii ya kitanzania kuishi maisha kama aliyoishi?


Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha wakati wa kampeni ya urais nadhani ni mwaka 2005, kuna mgombea urais mmoja kutoka chama cha upinzani alisemwa vibaya eti ni mhuni na hafai kuwa rais kwa vile hajaoa!
Kuoa/kuolewa kunaleta heshima fulani kwa mtu katika mila zetu za kitanzania!
 
Inatakiwa ufungwe jela maana umetoa bandiko linaloudhi watu. Wewe jifikirie had rais kaumia kwa kifo cha ruge wewe ni nan usiumie nawaagiza polisi ufungwe jela maana hujaumia kwa kifo cha Mwana ccm ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani raisi ni nani Kila mtu uitwa jina kulingana na mahala alipo au cheo chake unadhani kwao jiwe anaitwa raisi Kama sio jina lake halisi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steven foundries Apples 🍏
Edward Heath waziri mkuu wa Uingereza miaka ya 70
muongezee huyo na kijana mmoja alikua anaitwa jesus H christ....yani alikua na ushawishi mkubwa mnooo....na hakuwa na familia naye.......aliongea mambo tofauti na jamii inavyopenda, akachukiwa na kanisa ..akatengenezewe zengwe...akauwawa na kanisa lkagoma kumzika...aibu yaoooo
 
huyu kwasababu hajaoa ndio muhuni? hivi hizi threads tunazoziona humu kila siku za matatizo ya ndoa hua watu wanaosababisha ni ma bachelor, au hizi ndoa zinazovunjika kila siku ni za walio singo sio......acheni kufikiri ki binafsi...ama upo kwenye ndoa yenye utulivu shukuru na mtunze mwenzio lakini usikariri kwamba eti ukioa ama kuolewa ndio sio muhuni.....hizo ndoa ndio zina wahuni ambao ni wabaya kuliko ma singlez maana wao waliapa viapo vya kinafiki! gademu!
 
Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu


Hii ya kutomsema mtu kwa mabaya yake ni utamaduni tu, hakuna usayansi wowote. Na utamaduni waweza badilika pale jamii ikiona kuna haja ya kufanya hivyo. Mfano, japo tunatofautiana, lakini sote ni mashuhuda wa mabadiliko mbalimbali ya kitamaduni katika jamii yetu, mfano, namna ya kupata wachumba, namna ya kuoana, namna ya kuzika n.k. Hivyo, kama kusemwa kwa mabaya ya mhusika kuna faida yasemwe tu, hakuna chochote kitakachoharibika.

Mambo ya kuzingatia ni:

1. Kisemwacho kina ukweli?
2.Hata kama ni kweli, kina faida?

Kumsingizia mtu kutabaki si uungwana iwe marehemu ama kwetu tulio hai

Sisi utamaduni wa usiri utatumaliza sana, mimi nikifa semeni yote yale mnaona mkiyasema wengine mtajifunza kupitia mimi.Sasa kama nilikuwa ninakaba hadi nikauawa kwa mapanga, kwanini isisemwe ili watoto wapate fundisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…