Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Hakuna siri,pesa zililipwa kwa kutumia account za wahusika.Acconts zina wenyewe.
 
Rugemaria alipata wapi connection za kupiga mpunga wote huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi fanya kazi BOT halafu jamaa ana mpunga toka miaka ya 90, nenda bukoba kule ana ghorofa kwenye compound pale beach ziko mbili zimejengwa in search away zinabak za kisasa toka miaka 90 uwa anazikodi kama makazi au ofisi za mashirika makubwa, ziliwahi kodiwa na UNDP, World Bank na mashirika mengine.
 
Hakuna siri,pesa zililipwa kwa kutumia account za wahusika.Acconts zina wenyewe.
Hao wa kwenye account ndio hawa akina chenge,Tibaijuka,Ngeleja Nk!Sasa kuna wale waliochota mabilioni cash wakabeba kwenye sandarusi kutoka Bank na kutokomea zao!Hawa ndio mpaka leo wamefanywa siri!
 
Mpaka sasa siamini kama kweli Yohana hajaiona wala haijui ile list ya waliosomba mahela kwa masandarusi!
 
johnthebaptist,
Is there anyone listening out there? It is very dishearting to see such an upstanding and religious man being humiliated this way in an endless court case.
 
Tena wanatamba. Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rugemalira anatukumbusha kujipambania na kuwapambania familia au ndugu.. ipo siku atafanikiwa katika vita yake
Huyu mzee nimetokea kumuamini sana anajiamini na anaamini kabisa hana makosa lakini haya wanayomfanyia mzee wa watu na kama hana makosa basi mimi naamini Mungu yupo na atamlipia katika dhulma.

Ila mimi nalaumu zaidi mahakama wao ndio wakutoa haki na nidhamana kubwa sana waliyonayo kutenda haki na hakuna maendeleo ya kijamii au kiuchumi kama hakuna watu wakusimamia haki na watu hao ni mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…