sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Hakuna siri,pesa zililipwa kwa kutumia account za wahusika.Acconts zina wenyewe.Pole Tata Ruge! Kwanini usiuseme ukweli unaoujua juu ya waliochota fedha za wananchi? Sio sahihi sana kukaa na Jambo ambalo wewe unaliona Siri ilihali kwa wengine lipo wazi! Kama Havana wa bot anayajua majina Basi siyo Siri Tena! Wataje Tena kwa sauti kwani naamini una ushahidi wa kutosha! Huna unaloliogopa Wala kupoteza Bali kuwataja hadharani itakusaidia kuutua mzigo mzito ulioubeba moyoni na huenda ukapata nafuu ya ugonjwa wa moyo! Wataje hata Leo ili historian ikuhukumu kwa haki!