Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Pole Tata Ruge! Kwanini usiuseme ukweli unaoujua juu ya waliochota fedha za wananchi? Sio sahihi sana kukaa na Jambo ambalo wewe unaliona Siri ilihali kwa wengine lipo wazi! Kama Havana wa bot anayajua majina Basi siyo Siri Tena! Wataje Tena kwa sauti kwani naamini una ushahidi wa kutosha! Huna unaloliogopa Wala kupoteza Bali kuwataja hadharani itakusaidia kuutua mzigo mzito ulioubeba moyoni na huenda ukapata nafuu ya ugonjwa wa moyo! Wataje hata Leo ili historian ikuhukumu kwa haki!
Hakuna siri,pesa zililipwa kwa kutumia account za wahusika.Acconts zina wenyewe.
 
Rugemaria alipata wapi connection za kupiga mpunga wote huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi fanya kazi BOT halafu jamaa ana mpunga toka miaka ya 90, nenda bukoba kule ana ghorofa kwenye compound pale beach ziko mbili zimejengwa in search away zinabak za kisasa toka miaka 90 uwa anazikodi kama makazi au ofisi za mashirika makubwa, ziliwahi kodiwa na UNDP, World Bank na mashirika mengine.
 
Hakuna siri,pesa zililipwa kwa kutumia account za wahusika.Acconts zina wenyewe.
Hao wa kwenye account ndio hawa akina chenge,Tibaijuka,Ngeleja Nk!Sasa kuna wale waliochota mabilioni cash wakabeba kwenye sandarusi kutoka Bank na kutokomea zao!Hawa ndio mpaka leo wamefanywa siri!
 
Mpaka sasa siamini kama kweli Yohana hajaiona wala haijui ile list ya waliosomba mahela kwa masandarusi!
 
johnthebaptist,
Is there anyone listening out there? It is very dishearting to see such an upstanding and religious man being humiliated this way in an endless court case.
 
Kweli CCM ni chama cha kupambana na mafisadi (ila mafisadi wa nje ya CCM tu). Mafisadi wa ndani ya CCM wana kinga maalum. Marufuku kupelekwa mahakamani wala kupelekwa kwenye "KAMATI KUU YA CHAMA" kuwajibishwa.

Wafuasi wa CCM waliopewa hela za "ESCROW" wapo mtaani wanakula bata, wanaendesha ma Land Cruiser VX, na wengine bado wapo bungeni.
Tena wanatamba. Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rugemalira anatukumbusha kujipambania na kuwapambania familia au ndugu.. ipo siku atafanikiwa katika vita yake
Huyu mzee nimetokea kumuamini sana anajiamini na anaamini kabisa hana makosa lakini haya wanayomfanyia mzee wa watu na kama hana makosa basi mimi naamini Mungu yupo na atamlipia katika dhulma.

Ila mimi nalaumu zaidi mahakama wao ndio wakutoa haki na nidhamana kubwa sana waliyonayo kutenda haki na hakuna maendeleo ya kijamii au kiuchumi kama hakuna watu wakusimamia haki na watu hao ni mahakama.
 
Back
Top Bottom