inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ucenge tu,Kumar yake,kaamua kuitumia apendavyo,we uumie!!...ukiona haifai achana nae,Kumar kibao zinazurura mitaani hazina watiajiKuna maumivu fulani hivi mtu unayapata ukisalitiwa.Usipokuwa makini unaua.
Jamaa kajiua nayeye.Huyo jamaa kaua ndio anaongea hivyo very comfortable hivyo.? Kama ni kweli huyo mwanamke ni kama alikua anakitafuta cha mtema kuni ila kapata cha mtema gogo(panda tukupandishe)
Kila nikisiliza hiyo voice nashindwa kuelewa jamaa kajiua nayeye au yuko hai bado. Inachanganya
Wapi na liniJamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Simulia mkuu,marehemu alikuwa na hasira hasira eenhh?Inasikitisha kweli
Huyu kijana namfahamu yeye na familia yake nzima
Hadi huruma.
Kha!,2000 kweli ndio umpasue mtu?!,Duh!,hatari sana.Ukiachilia mbali stress za nyongeza ya mshahara maisha magumu nk . Kuna haja ya serikali kutahadharisha watu juu ya hasira za waalimu huku mitaani, juzi ticha mmoja kapasua chupa muhudumu wa bar kisa chenji 2000.
Ndio hujaelewa.Dah! Mwalimu ni wa sekondari Tanga kaenda kuuwa mkoa wa Rukwa Hala yeye akaenda kujinyonga mkoa wa Katavi. Au Mimi ndio sijaelewa
Tatizo nini, liweke na wengine tuone.Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,
Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]
Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Hata watoto hamkuwajali! Laana gani hii!Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.