RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Tukio nililiona na nlikuwa na watu wengine wakubwa kwa wadogo nkajua tu spana lazima ifuate tena ya nguvu
Sioni kosa la Wasafi tv hapo labda wangewasiliana na BASATA wakamfungia Giggy Money
Maana Wasafi Tv wenyewe wana haki ya kurusha matangazo sio waendeshaji/wamiliki wa tamasha.
 
Police Revenue Authority
 
Sioni kosa la Wasafi tv hapo labda wangewasiliana na BASATA wakamfungia Giggy Money
Maana Wasafi Tv wenyewe wana haki ya kurusha matangazo sio waendeshaji/wamiliki wa tamasha.
Kosa la wasafi hapo ni kurusha hilo tukio live, wangeweza kukatisha matangazo wakati huyo mcheza uchi akiwa jukwaani hadi amalize kisha wangeendelea ili kulinda maadili...lakini pamoja na hayo hilo ni kosa la kuomba radhi na kulipa faini tu sio hii adhabu ya miezi sita ni kubwa sana yaani ni sawa na kumuua inzi kwa kutumia nyundo...TCRA wametumia nguvu kupita kiasi hapa.....labda vinginevyo iwe wasafi waliambiwa kuomba radhi wakakaidi...!
 
Kama maudhui yaliruka moja kwa moja (LIVE) sioni kosa maana yanaruka moja kwa moja hadi kwa watazamaji bila kuhaririwa.

Ila kama ni recorded ndiyo yakarushwa basi wanastahili adhabu maana ni lazima kuhariri maudhui kabla ya kuyarusha.

Anapaswa kufungiwa Gigy Money kutofanya shughuli za sanaa na BASATA.

Hizi taasisi ni kama zinaingiliana kazi.
 
Hawajakaidi inabidi waombe radhi kuanzia leo upumbavu wameshafungiwa siku zote halafu eti waombe radhi
 
maneno ni mawili tu, "KA-TA"
 
Dah nimeshangaa sana kupata taarifa hizi .
 
Ilikuwa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…