Naona umefurahi sana kweli kwelimaneno ni mawili tu, "KA-TA"
Binamu we kwenye tamasha hakuwepo kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurah coz domo anajifanyaga untouchable, huu uzi leo utafikisha 100k views na comments 500k[emoji23][emoji23]
Wanakula bata tu [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama sahivi wataweka kambi ya pamoja my dear , miezi 6 ni mingi eti [emoji1787][emoji1787]Wasafi village season 2 tunaisubiri
Wanakula bata tu [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama sahivi wataweka kambi ya pamoja my dear , miezi 6 ni mingi eti [emoji1787][emoji1787]
Diamond anavyopenda sifa baba paroko hashindwiWanakula bata tu [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama sahivi wataweka kambi ya pamoja my dear , miezi 6 ni mingi eti [emoji1787][emoji1787]
TCRA Baba Lao
TCRA Baba Lao
Hakuna muwekezaji anaweza kuchoma pesa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata hilo wazoo hawanaa.. Miezi sita sio mchezooo!! Hiyo hasaraa yakee achaa tuu
Sijawai kuonaga adhabu kama hizi, hii ni kukomeshana, wanaacha kushughulikia vifurushi vya mitandao, wanakazania upuuzi..
Tusubiri tuone, miezi 6 mingi my dearDiamond anavyopenda sifa baba paroko hashindwi
Picha zipo nyingi ila jf na rungu la tcra.
Amini!!!Hivi hawa tisiaraei hawaonagi vifurushi vya mitandao kila siku wao na tv tu..[emoji28]
hahahahaaahaha na jamaa alitamba mbele ya Magu wakati wa kampen kuwa Magu kawafanya wasanii kumiliki hadi vituo vya Luninga akijimaanisha yeyeHahahaha huhuhuhu hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magufuli BABALAO.
Teh teh teh
Mitano Tena [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo ukweli wanaujua sahiv.. walidhani dozi ni kwa wapinzani tu
Tatizo mdangaji kawa msanii [emoji23][emoji23]Kwa body language yake tu Giggy Money, attitude yake na Kauli zake, ukimualika Studioni Kwako hasa ya TV utakuwa ni Mpumbavu uliyekomaa.
Nikumbushe..Umewahi kuona, itakuwa umesahau tu.