RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

adhabu ni sawa lkn adhabu ni kubwa mno ingawa hata huwa sikai kabisa katika tv
 
Basata ni sawa na joka la kibisa tu,kazi yao wanahangaika na wabugia dona tu
 
Kwahiyo tuvunje sheria kisa kuna mbwa kadhaa hawatolipa kodi?
 
Nimefuatilia kwa makini mijadala kuhusu adhabu ya Wasafi kutoka TCRA. Ukweli utabaki pale pale. Wasafi hamtakiwi kuwa juu ya sheria za nchi. Kama vituo vingine vinafungiwa, nyinyi ni nani msipapaswe mnapokosea? Sheria huwa haitazami una connection na nani ila rungu likishuka linashuka zima zima.

Poleni ndio kukua.
 
Tulia wewe,sisi ndio wataalamu.
Yale yale ya basata.... Hivi kwanin wasitoze faini tu mambo yakaendelea... unakuja tia watu hasara kisa utupu ambao watu wanacheza nao kila siku kweny simu zao na tv zao.

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Adhabu ndogo hiyo wajinga sana hao wasafi, wangefutiwa leseni kabisa,nashangaa mnasema adhabu kubwa hio.

Kuna watu wameporwa Ubunge, udiwani nk na kuna kampuni zimefilisiwa chini ya awamu ya tano hii hii na hawahawa Wasafi ndio walikuwa vimbelembele wa CCM.

Nasema mitano tena na adhabu ni ndogo!
 
Hii ni sheria ya kijinga sana, eti Mtu atumie silaha kufanyia uhalifu mtu huyo ahukumiwe adhabu pamoja na silaha yake aliyoitumia!!!??.

Kituo cha TV kina kosa lipi hadi kifungiwe??
Ww hakuna unachoelewa nenda nanjilinji
Ukalime
 
Kwanza huu n kidogo Sana wangepgwa
1yrs pamoja na redio Yao kabsa ili wawe na akili
 
Huu ndio utupu?...hawa jamaa hawapo serious......nani kawaambia utupu upo hivi...
Aisee...
Jamaa uonevu wanaofanyiwa wateja kuibiwa pesa kwenye account za simu wao hawayaoni ila kazi kusumbuka na wasanii tu.
 
Unaweka General wa jeshi kama mkuu wa idara/mamlaka unategemea nini?.
Hawa watu wanatakiwa wabaki huko huko,mambo ya kuwaonjesha madaraka /Asali ndio haya.
 
Wapuuzi sana, hawawezi kufanya vitu vya maana kama hivyo

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
Hili linaniumiza sana, ngoja tuone waziri kawapa miezi mitatu walifanyie kazi, ni aibu mpaka mkubwa wao wa kazi aje kukumbusha this is wrong wakati ni swala lipo wazi tu yani ni as if wao hawakuona kama lina umuhimu kuwa kila king'amuzi lazima kiwe na locals chanell,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…