mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kabisa....ndomana sahv watoto wa kiume wakuwa legelege...nywele kupakaa dawa,mdomoni lipstick,wanavaa nguo za kubanaNi jambo la kupongezwa kwa mamlaka kwa hatua hiyo maana upuuzi wa namna hiyo ndiyo unaharibu maadili ya jamii, watoto na vijana huiga kwa hao wasanii ambao wameshachanganyikiwa. Hongereni TCRA sasa baada ya hiyo TV kushughulikiwa na TCRA, Basata nao wadeal na huyo muonyesha tupu kwa kumfungia naye ili huo utupu awaonyeshe nduguze
Upuz mtupu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app