RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

TCRA wanajukumu la kulea pia hawa vijana, wasafi hawana uwezo wa kuajiri experienced proffesionals kwenye kuanza tu kama ilivyo kuwa kwa Azam au ITV hiyo budget hawana.

Makosa yatatendeka producers wanaweza wasi react on time yote hiyo ni kutokana na amateurish yao, lazima kuwe na leeway’s ya makosa kwenye hizi taasisi ambazo humo ndani udhani kama kuna mfanyakazi aliefika miaka 50 kwenye operations zao.

Fines za hapa na pale sawa lakini kuwafungia kila siku ni kuwaonea.

Miezi sita ni kuwakatisha vijana tamaa ambao wamewekeza hela zao nyingi kufika hapo walipo, kwa ili TCRA wameboronga.
 
Leo ndio umefahamu haya?
Duh hivi hawa jamaa huwa wanafikiria wider impact ya maamuzi yao? Ajira za vijana, kodi za serikali na societal benefit za vipindi vyao.

Sidhani kama kuna kosa la kufungia TV kwa miezi sita isitoshe chanzo chenyewe ni live event ambapo producers sio wachawi watabiri nini kitatendeka jumlisha na uhalisia wengi wa wafanyakazi wao bado ni amateurs with lack of experience.

That is just harsh.

Ebu wawaache vijana watengeneze utajiri na kuwa-inspire wengine, kama mtoto wa Tandale kaweza kwa jitihada zake basi inawezekana kwa kijana mwingine yoyete kufanikiwa ndani ya Tanzania.

Adhabu ya miezi sita kwakweli hao jamaa wamepitwa na wakati.
 
Devil is a liar, tumezima kumamae [emoji3][emoji3]
hqdefault.jpg
 
TCRA wanajukumu la kulea pia hawa vijana, wasafi hawana uwezo wa kuajiri experienced proffesionals kwenye kuanza tu kama ilivyo kuwa kwa Azam au ITV hiyo budget hawana.

Makosa yatatendeka producers wanaweza wasi react on time yote hiyo ni kutokana na amateurish yao, lazima kuwe na leeway’s ya makosa kwenye hizi taasisi ambazo humo ndani udhani kama kuna mfanyakazi aliefika miaka 50 kwenye operations zao.

Fines za hapa na pale sawa lakini kuwafungia kila siku ni kuwaonea.

Miezi sita ni kuwakatisha vijana tamaa ambao wamewekeza hela zao nyingi kufika hapo walipo, kwa ili TCRA wameboronga.
................Hatuwezi kuwa na taifa bovu lisilokuwa na staha kwa excuses ndogo kama vijana kukosa ajira eti bado wachanga kwenye industry basi waachwe tu wavuruge maadili.

Kama hawakupewa adhabu kali hawa na wengine wataiga mwisho hakuna atakayeweza kusimamia sheria bora hawa watolewe kafara ili wengine waogope wasifuate njia ovu.

“Kwa maneno mengine hawa wawe mfano kwa wengine”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa wasafi na media zingine huwa hawapo upande wa wananchi kipindi cha uchaguzi au ndio tusamehe saba mara sabini?!
 
....Hatuwezi kuwa na taifa bovu lisilokuwa na staha kwa excuses ndogo kama vijana kukosa ajira eti bado wachanga kwenye industry basi waachwe tu wavuruge maadili...

Sijasema awajakosea au hawastahili sanctions ila miezi sita ni mingi sana.

Fines tu zingetosha kuliko kuwafungia kila kosa.

Ni hivi Wasafi TV ni kituo kipya serikali inayo encourage vijana kujiajiri anapotokea mmoja anatoa ajira kwa wenzake lazima impe heshima anazostahili, pili ni interest ya serikali kuona tasnia ya habari inakuwa na kuna variety of shows zinazogusa watu wenye interest mbali mbali zaidi ya serious news na siasa tu kama ilivyo zoeleka.

Wasafi ni wachanga common sense ni kuwapa margin of error katika operation zao. Kwa sababu lazima watakosea tu hapa na pale.

Producer mwenye experience na aliebobea anapoona kuna images tata palepale anachange camera na kuonyesha sehemu nyingine.

Hawa vijana ndio kwanza wanaingia hiyo industry serikali lazima ielewe kutakuwa na mistakes za hapa na pale hawa sio Azam, TBC au ITV zinazoendeshwa na watu nguli.

Kwa ivyo common sense has to prevail sometimes they need nurturing at this stage sio kuwapa adhabu kubwa, lazima wafundishwe vitu kama live shows zingine kuwe na delays za dakika mbili katika kupokea picha na kurusha hewani zinazoingia ili kujipa muda wa ku react haraka itasaidia pale ambapo kuna jambo wasilo tarajia linapotojea, litasaidia kujua jinsi ya kubadili camera on time, etc with other live production challenges.

Bado ni amateurs halafu wengi ni vijana watakosea tu kipindi hiki cha mwanzo wa safari yao wanahitaji guidance sio kuwaumiza kila wanapokosea.
 
Duh hivi hawa jamaa huwa wanafikiria wider impact ya maamuzi yao? Ajira za vijana, kodi za serikali na societal benefit za vipindi vyao...

Ndo next time waajiri watu wenye professional zao tu na sio kubebana hovyo, wasafi imejaa watangazaji na watu ambao hawako proficient na kazi zao

Mi naona hiyo Adhabu ni Sawa tu ndo next time wajifunze
 
Back
Top Bottom