Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifurushi haviwahusu kabisa hiyo ni kazi ya tiaraeiHivi hawa tisiaraei hawaonagi vifurushi vya mitandao kila siku wao na tv tu..😅
Vifurushi haviwahusu kabisa hiyo ni kazi ya tiaraeiHivi hawa tisiaraei hawaonagi vifurushi vya mitandao kila siku wao na tv tu..😅
Vitawahusu tu..Vifurushi haviwahusu kabisa hiyo ni kazi ya tiaraei
Duh hivi hawa jamaa huwa wanafikiria wider impact ya maamuzi yao? Ajira za vijana, kodi za serikali na societal benefit za vipindi vyao.
Sidhani kama kuna kosa la kufungia TV kwa miezi sita isitoshe chanzo chenyewe ni live event ambapo producers sio wachawi watabiri nini kitatendeka jumlisha na uhalisia wengi wa wafanyakazi wao bado ni amateurs with lack of experience.
That is just harsh.
Ebu wawaache vijana watengeneze utajiri na kuwa-inspire wengine, kama mtoto wa Tandale kaweza kwa jitihada zake basi inawezekana kwa kijana mwingine yoyete kufanikiwa ndani ya Tanzania.
Adhabu ya miezi sita kwakweli hao jamaa wamepitwa na wakati.
Hahahaa endeleeni kupigwa bando bila huruma tiaraei ipo kaziniVitawahusu tu..
Acha chuki utakufa kwa presha kipochi manyoya ww
................Hatuwezi kuwa na taifa bovu lisilokuwa na staha kwa excuses ndogo kama vijana kukosa ajira eti bado wachanga kwenye industry basi waachwe tu wavuruge maadili.TCRA wanajukumu la kulea pia hawa vijana, wasafi hawana uwezo wa kuajiri experienced proffesionals kwenye kuanza tu kama ilivyo kuwa kwa Azam au ITV hiyo budget hawana.
Makosa yatatendeka producers wanaweza wasi react on time yote hiyo ni kutokana na amateurish yao, lazima kuwe na leeway’s ya makosa kwenye hizi taasisi ambazo humo ndani udhani kama kuna mfanyakazi aliefika miaka 50 kwenye operations zao.
Fines za hapa na pale sawa lakini kuwafungia kila siku ni kuwaonea.
Miezi sita ni kuwakatisha vijana tamaa ambao wamewekeza hela zao nyingi kufika hapo walipo, kwa ili TCRA wameboronga.
....Hatuwezi kuwa na taifa bovu lisilokuwa na staha kwa excuses ndogo kama vijana kukosa ajira eti bado wachanga kwenye industry basi waachwe tu wavuruge maadili...
Hii adhabu kama hainaa Dhamira ya Kisiasa ndani yakee bhasi wamekosea sana aisee... Hii sio hakiSijasema awajakosea au hawastahili sanctions hila miezi sita ni mingi. Fines tu zingetosha kuliko kuwafungia kila kosa...
Duh hivi hawa jamaa huwa wanafikiria wider impact ya maamuzi yao? Ajira za vijana, kodi za serikali na societal benefit za vipindi vyao...