Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Your browser is not able to display this video.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika Kitongoji cha Kibumbe Mkoani Mbeya.

Afisa Elimu Msingi wa Rungwe, Juma Mwanjobe amesema “Tumekuwa ukipigana kupata Shule kwenye eneo letu, nadhani sasa mwarobaini umepatikana, tunachokiomba ni kuwa tushirikiane ili ikiwezekana Januari 2024 Shule iwe imesajiliwa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…