Rupia: Hazina ya Mjerumani

Nimesoma uzi hadi mwisho. Napenda kuuliza. Kuhusu Red mercury je, unafahamu michakato yake? Hata kwa kusikia?
 
Rupia ninayo moja yamwaka 1910 alama ya J kwaanaehitaji 0717 040837
 

Attachments

  • DSC_2637.jpg
    429.8 KB · Views: 797
  • IMG-20141206-WA0026.jpg
    563.3 KB · Views: 654
mpaka lishimo lilibaki, walichimba na high equiped machines.. maana ata kelele azikuwepo.. wakapakia kwenye land cruser yao moto bati,

Acha uongo wako, Mimi nimesoma Iyunga kuanzia mwaka 1991 hadi namaliza form four Hilo shimo pale Luthuli lilikuwepo na nilikuwa nakaa Shaban Robert bwenini. Kuna wakati walikuwa wanachimba then wanatoa Maji then wanapotea kwa miezi kadhaa wanarudi hadi namaliza sikuwahi kuona wala kusikia mzigo umetoka. High equipment machine zao yalikuwa masululu na makoleo na wachimbaji walikuwa weusi tii hakuna mzungu na ilisemekana Ni mchongo wa mwalimu anaitwa Gumbo...
 

Mimi nilisoma kuanzia 1991 watu walikuwa wanakuja kuchimba na kutokomea, nahisi hii ishu ilianza zamani Sana na huenda bado wanaendelea kuchimba.
 
Mie ninazo rupia nauza bil 5 nataka ninunue eneo oysterbay nijenge mansion(bajeti 1.5b),pia nataka ninunue bentley (300m) na Vogue moja 80m,bil 2 niwekeze kwenye kiwanda cha maji na juice na bil 1 inayobaki naiweka bank kama fixed kwa mwaka m1,nipiemuni.
 
Nikiwa MWANZA mwaka jana, nilikutana na mtu akanisimulia habari za utaftaji wa rupia, aliwahi kufatilia na katika site ambayo walienda hawakufanikiwa ila walikuta unga wa baruti, bunduki na mabuti ambayo yamechakaa kwa kukaa muda mrefu kiasi kwamba soli yake ukiishika iko laini kama bigijii , hawakuvichukua kwani havikuwa na faida, nilivutiwa na stori nikamwambia anithibitishie na mimi nivione, kiukweli site ilikua mbali hivyo hatukwenda, alichokifanya alinipitisha site zilizopo mjini, akanionesha alama na kunifundisha kidogo zinavyowekwa na kusomwa....
Kwakweli mzuka ulinipanda nikaamua kufatilia mimi mwenyewe, siku moja nilienda site fulani nikafuata alama kulingana na alivyonielekeza, kiukweli nilikuta mahali kuna jiwe(kama sakafu fulani ivi) nikagonga kwa kutumia fimbo(kama za wamasai) nikasikia kuna muitikio wa sauti(mwangwi) unaotokea chini dizaini kama kuna shimo ama chumba au sehemu iliyo wazi, nilitamani kuendelea na utafiti nipate pa kuingilia lakini kutokana na stori za jamaa nyingine zilinitisha, inawezekana ukawa ni mlango, ama mtego, dah, nikaishia pale, ila nikipata nafasi nitaendelea nijue.
Kuna uwezekano hizo site zipo na kuna ukweli kuhusu hii mambo, ila story hazijajiunfold sawa sawa.

Hii ni moja kati ya alama na njia ya kingilia pangoni. kama utazielewa alama vizuri, unaeza pita hadi ukabeba "zaga" naamini hakuna maghost wala uchawi, ni woga wako tu

 
Shemeji yangu amewah kupata rupia akaenda huko alivo rudi kanunua haice na nyumba mbeya mjini na vitu vingi sana baada ya miaka 3 alifilisika na aliuza vyote. mwaka 2014 alikuja mzungu hapa Ludewa antafta pesa za zamani sio kila pesa ya zaman.
 
Nina fufumaki kiongozi sasa nataka niipige bei tuwasiliane basis.
 

mbeya usangu eneo jiran na maramba pana mabox ya rupia utoaj ndo shda
 

Dada umetisha.

We ni kichwa, hatari.
 
Kama MTU amefanikiwa kutoka maji "mercury* gramu 500 kwenye hayo mapango.

Je anaweza kupeleka ubaloz wa ujeruman kuuza?

Kwa wajuz, hiyo gramu 500 ya mercury inaweza kuuzwa kwa shilingi ngap za kitanzania????


Cc: MAKOSHNELI, kichunguu The Fixer
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…