Mbona hujataja Congo?Sudan?Mfano wa hizo nchi zilizoendelea zikiwa na rasilimali nyingi ni pamoja na Russia, , Mexico, Brazil, India, Uturuki, Azerbaijan. Lakini pia hizi nchi zimeendelea zikiwa na viwango vikubwa sana vya rushwa.
Top 10 ya nchi ambazo Zina viwango vidogo vya rushwa ni nchi zilizoendelea sana,ila top 10 ya nchi zenye viwango vikubwa vya rushwa ni nchi masikini(Tena Zina rasilimali)!Kwa nini Russia, Uturuki na Italia zimeendelea sana pamoja na kiwango kikubwa cha ufisadi katika hizo nchi?
Viongozi wa dini wenyewe wanataka zaka na sakada.Hahahahaha.. koo kila kitu kujipanga
Kupata nafasi ni bure ila kutatengenezwa ugumu tu ilimradi uhonge kiasi flani ndio upewe hio nafasi!Mwanao utakapo mleta shuleni tutahitaji utupe rushwa ya laki tano ndipo tumpokee
Sasa kama wanafanya hivyo kinyume na sheria si rushwa hiyo ndugu! Kasome vizuri uelewe rushwa ni nini, ukielewa nadhani utautafakari upya uzi wakoKokote kule. Kisheria huwezi kutokap nchini na 10k usd bila kibali.
Top 10 ya nchi zenye viwango vidogo vya rushwa ni nchi zenye baridi sana, ni nchi ambazo wanawake wengi ni viongozi katika serikali na sekta binafsi, ni nchi ambazo zina kiwango kidogo sana cha watu wenye dini....Top 10 ya nchi ambazo Zina viwango vidogo vya rushwa ni nchi zilizoendelea sana,ila top 10 ya nchi zenye viwango vikubwa vya rushwa ni nchi masikini(Tena Zina rasilimali)!
Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu anapokula rushwa na kuwekeza kwenye uchumi huo huo kunakuwa hakuna madhara yoyote ya maana kwenye uchumi.
Tatizo kubwa kwenye uchumi wa Africa ni utoroshwaji wa fedha. Viongozi wengi wa Africa wamekuwa wakiiba pesa na kwenda kuwekeza huko Ulaya au kuzitunza mabenki ya nje. Hapo wanaenda kukuza uchumi wa nchi hizo na kudhoofisha huku. Hili jambo linaathari kubwa sana kwa uchumi kuliko rushwa.
Matajiri wakubwa nao wamekuwa wakihamisha fedha nyingi kwenda nje ya nchi. Mambi haya yanaathari kubwa kiuchumi kuliko rushwa.
Pengine sasa PCCB waongezewe nguvu kubwa ili waweze kupambana na utoroshaji wa pesa, huo ndio moja ya adui wakubwa wa maendeleo yetu.
Miradi ya maendeleo ni Kwass ajili ya nani? Si Mwananchi! Na ajira ilitolewa na Trafiki ni kwa ajili ya nani? Si Mwananchi! Tena Trafiki Anatol ajira papo kwa hapo tena inakuwa endelevu kuliko hiyo miradi ya maendeleo isiyo na tja na Sio endelevu! @ red Gant ana akili saaaanaDuuuh,kweli akili zetu zimechoka!Sioni shida kama mkibariki na wizi,kwamba ukimuona tajiri,mvamie muibie then nunua boda boda mpe nduguyo,utakuwa umetengeneza ajira!!!
Nikuleleze tu,ikifika huko kwamba kila mtu apige basi hata miradi ya maendeleo haitamalizika!Fikiri mradi labda wa maji wa Bilioni 1,kuanzia Waziri mpaka mtendaji mdogo idara ya maji alijinyofolea kutabaki Nini?Acheni kushabikia rushwa na ufisadi!
Rais wa nchi kuhamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa siyo content?Hivi umeishiwq kabisa Content we jamaa?
Ebu nambie kwenye uchumi wa kisasa unaikwepaje rushwa??Rushwa ni nzuri ukiwa Tajiri ila ukiwa masikini ni balaa zito!
Rushwa huwapa fursa wasio stahili na kuwanyima fursa wanaostahili sababu hawana pesa.
kuikwepa na ndio maana tunaiita adui wa hakiEbu nambie kwenye uchumi wa kisasa unaikwepaje rushwa??
Nadhani binadamu ndo tumekuwa maadui wa haki ndiyo maana inabidi rushwa itumike kuipata au kuizuia haki!Huwezi
kuikwepa na ndio maana tunaiita adui wa haki
Hahahahah kwa kulingana na uelewa wako lakiniNadhani binadamu ndo tumekuwa maadui wa haki ndiyo maana inabidi rushwa itumike kuipata au kuizuia haki!
Rushwa ipo na itaendelea kuwepo. Ni sehemu y uchumi wa kisasa.
NB: There is a very thin line between what is and what isn't corruption!
Mengi tunayofanya kwenye utamaduni wetu ni corruption!
NDIYO! Na ndiyo maana kesi za rushwa si nyepesi. Nyingi zinatumia rushwa kujiendesha!Hahahahah kwa kulingana na uelewa wako lakini
NDIYO! Na ndiyo maana kesi za rushwa si nyepesi. Nyingi zinatumia rushwa kujiendesha
Nenda mahakamani, polisi au PCCB do utajua mtoa haki ni MUNGU peke yake!Huoni kama kuendesha kesi kwa rushwa ni kupora haki za watu?
Ndio maana naichukia RushwaNenda mahakamani, polisi au PCCB do utajua mtoa haki ni MUNGU peke yake!
Rushwa INA madhara makubwa uchumi wa nchi chukulia waziri wa uchumi ,raisi nk wamepatikanao kwa rushwa wakati hawana uwrezo wa kuendesha uchumi wa nchi unajua madhara kwenye uchumi wa nchi?Hakuna madhara ya maana kwenye uchumi wa nchi.
Hiyo ndio grand corruption,kama pesa halali kwanini uzikimbize nje?na wewe ni mtumishi wa umma?rejea ishu ya Mzee wa vijisenti,walinunua jengo la ubalozi kwa kuweka Cha juu,nchi ikalipa zaidi,hicho Cha zaidi kikachukuliwa na watu binafsi,wakazificha nje ya nchi,hazipo Nchini,kuendeleza uchumi,hiyo Rushwa ina madhara makubwa sana kwa maisha ya wananchi,badala ya nchi kufanya miradi kwa pesa ndogo,bei za vitu,tender zinaongezwa maradufu,miradi inafanyiwa kwa gharama kubwa,harafu kwa ubora hafifu,nchi inabidi ilipe zaidi,Cha ziada kinaliwa,mradi badala ya kukaa miaka 20,,ndani ya miaka 5,mradi unachakaa,nchi inabidi itumie pesa Tena kuukarabati,badala hizo pesa kufanya maendeleo,zinatumika kufanya matengenezo kwenye mradi mpya,Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu anapokula rushwa na kuwekeza kwenye uchumi huo huo kunakuwa hakuna madhara yoyote ya maana kwenye uchumi.
Tatizo kubwa kwenye uchumi wa Africa ni utoroshwaji wa fedha. Viongozi wengi wa Africa wamekuwa wakiiba pesa na kwenda kuwekeza huko Ulaya au kuzitunza mabenki ya nje. Hapo wanaenda kukuza uchumi wa nchi hizo na kudhoofisha huku. Hili jambo linaathari kubwa sana kwa uchumi kuliko rushwa.
Matajiri wakubwa nao wamekuwa wakihamisha fedha nyingi kwenda nje ya nchi. Mambi haya yanaathari kubwa kiuchumi kuliko rushwa.
Pengine sasa PCCB waongezewe nguvu kubwa ili waweze kupambana na utoroshaji wa pesa, huo ndio moja ya adui wakubwa wa maendeleo yetu.